Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
MWISHO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona masikio yamezidi kichwa sasa
Nina bahati mbaya sana na wanyama. Tulikuwa tunafuga mbwa toka katoto na alinizoea hadi kawa mkubwa. Kipindi nasoma secondary shule tunanyoa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] after all hao ni wanyama mkuu, tunatakiwa kuwafuga lakini umakini uwepo pia, siunaskia ata Mbwa pia wanashambulia mabosi wao
Duhhh nimecheka kama mazuri vile, pole mwayaNina bahati mbaya sana na wanyama. Tulikuwa tunafuga mbwa toka katoto na alinizoea hadi kawa mkubwa. Kipindi nasoma secondary shule tunanyoa.
Siku moja tumefunga likizo nikaenda kusuka dread zile za uzi, usiku wake sikumlishia mimi kesho asubuhi naenda kumfungia ile kuniona tuu akanirukia nikaanguka, alininyofoa dread zote za mbele na nywele zilitoka nilipiga kelele kama chizi.
Toka siku hiyo nikawa namwangalia kwa bandani tuu mpaka leo mbwa na paka nawaheshimu.
siku tumetoka shule,tumebandika maji na yamechemka,kwenda kuchukua unga kwenye plastic la kilo 20,paka kanyea na kafukia mavi yake,mama hayupo mpaka usiku,tulilia mikono kichwani,tangu 1990 mpaka leo,sijawahi fuga huyu mnyama...Yes nshawahi kuskia wana tabia ya kujisaidia kwny unga(anakunya afu anafukia) a,,, na kwny masofa.
Unaandika hivi wewe kama nani?????Wote tutawanyike humu maana tunafanya mkusanyiko haramu tutarudi humu mara tutakapoona bandiko tarajiwa
Kinachotakiwa ni kuchungulia tu kama limeshawekwa na mhusika au laa pasipo kuchangia kama kaweka soma kisha uondoke kimyakimya
Huyo paka ushawahi kumuuliza kama anataka kuzaa au hataki??Kwa imani ipi mkuu inayosema paka ni binadamu aliejificha?
Pia sio kila mnyama au kila mtu anataka kuzaa, ushawahi kujiuliza ni ipi faida ya kuzaa? Ukizaa wewe unapata faida gani personal?
Una uhakika n uongo?Acha uongo mzee
Huyo paka ushawahi kumuuliza kama anataka kuzaa au hataki??
Kama hujawah muuliza, n kwa nn umtoe kizaz?
Kuhusu faida za kuzaa:
Wewe huoni faida, je una uhakika yy paka haoni faida za kuzaa wakati hujawahi kujadiliana nae kuhusu suala hlo???
Ur interests cant be universal.
Cha muhmu mwite paka mjadiliane je yupo tayari kutolewa ovary?? Akikataa usimkatili!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku tumetoka shule,tumebandika maji na yamechemka,kwenda kuchukua unga kwenye plastic la kilo 20,paka kanyea na kafukia mavi yake,mama hayupo mpaka usiku,tulilia mikono kichwani,tangu 1990 mpaka leo,sijawahi fuga huyu mnyama...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paka wa mamkubwa wangu pia alipupu kwenye unga akafukia, kaka yangu mkubwa ametoka shule apike ugali anasema akaona kitu cheusi kimefukiwa akahisi wenzie wameficha parachichi ( walikuwa wanakaa watoto wengi) akafukua na mkono kilichofwata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku tumetoka shule,tumebandika maji na yamechemka,kwenda kuchukua unga kwenye plastic la kilo 20,paka kanyea na kafukia mavi yake,mama hayupo mpaka usiku,tulilia mikono kichwani,tangu 1990 mpaka leo,sijawahi fuga huyu mnyama...