Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nimeishia hapa

Baada ya wiki kama mbili tulijiandaa na jamaa akawa mwenyeji wangu kuelekea kisiwa cha Chumbe Unguja.
 

Ukimzoesha mapema sehem yake ya kujisaidia hajisaidii tofauti na hapo paka ni wasafi sana hawapendi uchafu
Mi wangu nimemzoesha mahala pa kujisaidia nambadilishia mchanga tu mara nyingi
Akijisaidia hovyo maana hujamfundisha na sio kosa la paka
 
Kwa jinsi nilivyo Soma hi hbr za huyu bwan sioni Kama hatarudi Kuja kumaliza vipande vyake, hii story yake inalenga ku expose jamii fln yenye maslai ndani na nnje ya serekali hii ya SASA, itakuwa ngumu umughaka kuendelea kuwaanika Hawa jamaa matendo yao hadharani namna hii ambayo ndio tabia zao kwa ujumla. Hawatakubali kuwa exposed namna hii, hivyo bwana amechimbwa mkwara kuendelea na story hii na haweZi kutuambia katu.....

Hivyo ni wajibu wetu kutafuta hbr zingine Kama hzi za paka na nk..

Au tumwambie bwana vikitim amalizie I'le ya kwake na muarabu wake ,kwani kwanza yuko ktk Uzi huu

... period
 
Ukitaka kuua paka chukua paracetamol changanya na chakula kisha weka, paka yeyote atakayekula lazima arudishe number tu.
 
Ukitaka kuua paka chukua paracetamol changanya na chakula kisha weka, paka yeyote atakayekula lazima arudishe number tu.
Labda,mi nilibeba gongo km la kuchezea golf nikajua pigo moja tu ataundee.
Nikafunga mlango
Aah wapi alikwepa zote,na kuna mda aliruka akanasa juu ukutani akajiachia akaruka huku ananiface usoni kucha miguu zinakuja machoni sijui nilikwepaje,ila.nilifungua mlango mwenyewe aondoke.
Aligoma ,akahama badae sana baada kuona nimemchunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…