Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Ulijifungia na paka ndani ili umuue! Usirudie tena mkuu tutakupoteza
 
Paka hajitibu huo ni uongo anakufa hata kwa sumu ya panya ile ya Zimbabwe, mpe packet mbili hadi 4, utakuta kafa na mm nimewaua wengi sana wa mjini.

Pili dip au dawa ya kuoshea ngombe ina harufu kali hawezi kula sana, na pia haiui paka wa kitu chochote isipokuwa binadamu.
 
View attachment 2486777
Wangu huyu hapa siwezi muuza aisee ananipa raha mno ,nitumie dawa gani ya kuzuia asibebe mimba
Bado mdogo lakin ila Ndio anakaribia kukua?
Mi huwa nalala nae kwa kitanda the way anakoroma nasikia raha sana🤣🤣🤣

Nimekulia familia ya kifugaji so Mg'ombe, Mbuzi, Kondoo, Mbwa na Paka ni sehemu tosha ya maisha yangu
 
Ukimkata kucha atashindwa kupanda juu ya mti hasa bahati mbaya akitoka nje na wewe haupo na unafuga mbwa pia utakuta maiti
 
Duuuh,huu ulifaa uwe Uzi kamili.... Interesting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…