Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Niwe mkweli napenda sana paka na Mbwa
Ni wanyama wazuri sana wasipojichanganya.
Nilifuga wote utotoni.
Mbwa wangu aliitwa Obi aisee yule Mbwa bishoo msafi haswa.
Palikua patamu huko Obi mara kafumaniwa kapewa kibano,huku paka linda nae anapelekewa moto mpk mipaka mibasha zake inakuja kumgombea pale home.
Full vurugu
 
🤣🤣🤣🤣🤣Mbwa wangu aiitwa Rasco jeusiiii lina vidoa juu ya macho🐕
 
Yaani uchomoe kwenda kumfungulia paka mlango ukirudi kitandani utaendelea na huyo orange wako🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…