Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo anatupia Mida Mida akitoka churchDuuuuh mambo bado kumbe
Itakuwa poaLeo anatupia Mida Mida akitoka church
Mchawi yule haendi chachi na keshaukimbia uzi wake,kwasasa anaupita kama kaona vimaLeo anatupia Mida Mida akitoka church
Yaani kakinyesi kapaka kadogo vile na unga ndoo nzima mnalala njaa? Ilikua ni kuengua kaeneo husika na msosi unapikwa. Tena ilitakiwa iwe Siri ya mchota unga tu.Asubuhi nitawaletea kisa cha paka wa bibi alivyosababisha tulale njaa kisa alijisaidia kwenye ndoo ya unga.
Ni wanyama wazuri sana wasipojichanganya.Niwe mkweli napenda sana paka na Mbwa
Sio kila kitu kuchukulia serious mkuu,uko jukwaa la entertaiment hapa tunaburudika tu tukisubiri umughaka alete usafiri tuendelee naepisode 19.Moderator tunaomba muufute huu uzi, unaleta vurugu. Watu wanajadili kuhusu paka. Inakera sana. Futeni huu uzi
🤣🤣🤣🤣🤣Mbwa wangu aiitwa Rasco jeusiiii lina vidoa juu ya macho🐕Ni wanyama wazuri sana wasipojichanganya.
Nilifuga wote utotoni.
Mbwa wangu aliitwa Obi aisee yule Mbwa bishoo msafi haswa.
Palikua patamu huko Obi mara kafumaniwa kapewa kibano,huku paka linda nae anapelekewa moto mpk mipaka mibasha zake inakuja kumgombea pale home.
Full vurugu
Yaani uchomoe kwenda kumfungulia paka mlango ukirudi kitandani utaendelea na huyo orange wako🙄kuna moja lilikua kubwa hilo orange,lina wivu balaa kila nikienda kutafuna mbususu basi litantia ubusy usio na maendeleo.
sasa unakuta uko katikati ya game linagonga mlango linafungua linazama ndani myaoo,myaooo
linarukia kitandani linakaa katikati myaaaoo.
mpaka kulitoa
stimu inakata kabisa
Ashakufa,rip orange🙁