Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Yaani uchomoe kwenda kumfungulia paka mlango ukirudi kitandani utaendelea na huyo orange wako🙄
No paka alikua ndo Orange, sasa mamaake mlango kwanza hafungi na funguo so kitasa paka anafungua haimpi tabu akizama ndo huyo anaingia na kukaa katikati.basi game linaishia hapo
 
Antonnia , kitalembwa mtu wenu amefika kutoka Mbeya.
 
Maliza episode zote mura kabla Chizi Maarifa hajaleta bange zake
 
kumbana,kiukweli nilipomtazama vizuri nilishituka sana baada ya kuona alikuwa na mchoro mkononi kama ambao Maya alikuwa nao kwenye mkono wake wa kuume!
Kumbe maya ndio huyo dada muuza duka hapo Kariakoo sema tu mura UMUGHAKA ulikuwa hujui .Haya jitahidi uweke episode ya 20 au mimi niiweke hapa fasta kupunguza alosto za mamsela kama mpwayungu village Chizi Maarifa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulitakiwa utuombe msamaha kwanza na utwambie nini kinaendelea,sio unatuletea alosto afu unakuja na kiepisode kimoja kimya kimya,huuo sio uungwana[emoji1745]
 
We mpelekee motoo, peleka motooo

Farah ndio Maya kudadadekiiiii, Inapoelekea kuna siku Maya atataka atolewe makabichi(Mbogamboga)[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na Master anaenda haribu ndoa ya Ally Mpemba kwa Maya (Zarha/Farah), maana toto ameelewa mtiti wa mtu wa bara kuliko mpemba.. au unaonaje hili Antonnia
 
Nitarudi sehem ya 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…