HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
.......Hata wewe kuona boriti kwenye jicho la mwenzako na kusahau kutoa banzi kwenye jicho lako ni dhambiUMUGHAKA huendi mbinguni kwa sababu hizi
-kuuza pesa bandia
-kufanya ujambazi
-kulala na msukule
-kumlisha alfwata
-kutowasiliana na baba yako kwa zaidi ya miaka 14