Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Dah usione marange yanapita huko road ukajua watu wametusua.Watu wana mikataba migumu ya nguvu za giza.Wacha tutafute kawaida mbona zinapatikana tu hizi vitu.
Unajifariji tu. Sio wote . Usitake kupata uhalali wa wewe wa kutoitafuta range mkuu. Komaa mpaka kieleweke,. Mie Sina hizo Imani. Ingekuwa ivyo AFRICANS tungekuwa matajiri kuliko wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…