Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Naona watu wameshasahau vile jamaa alivyowaweka wiki nzima bila dozi...

Hapa tujiandae na arosto wiki nzima...ndio dozi nyingine...

#UMUGHAKA TAFADHALI UTUELEZE KABISA KILA LINI NA SAA NGAPI UTAKUWA UNATUSHUSHIA EPISODE...MAISHA MAGUMU KWELI UMETUSABABISHIA...
 

Inabidi asiiweke kwanza aiandae hadi ya 25 then azipost kwa mfululizo
 
Inabidi Umu atuletee episode 3 kati ya leo na kesho kurekebisha kosa alilofanya la kutuweka roho juu wiki nzima.
Ila kwa jinsi alivyojihangaisha kumshughulikia maya naona dalili za msukule kuvunja protocol ya kushughulikiwa ijumaa na kufanya dozi kuwa kila iitwapo usiku.
Ally atakukuja kuwa na wakati mgumu kufanana na watu walao ugali wa mtama wawapo kitandani.
 
Daah mwanetu hapa tena utatuacha na arosto sijui mpaka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…