Hapana sio huyu yule dada aliyelala na UMUGHAKA sio binadamu bali ni lipaka likubwa lisilo na doa hata mojaHata mm nawaza kama ww
Inaweza ikawa kuwa huyo msichana wa dukani ni jini lililotengenezwa kwa masharti kutimizwa ya katika kumhudumia msukule Maya.Najiuliza
Ina maana huyo dada dukani ndiye huyohuyo alikuwa anampa pesa Master,akanunue makabichi ambayo baadaye atakula yeye mwenyewe?
Ngoja tusubiri muendelezo.
Huyu jamaa ni noma na mimi nimeirudia kama mara tatu hivi [emoji28][emoji28],baada ya uume kusimama tena niliendelea kumsukumia nyama hadi aliponiachia huku akionekana kulifurahia tendo.... Master wewe hatari sana, nairudi rudia post yako ya leo kama nakunywa maji huku nachukua notes..[emoji3][emoji3][emoji3]
Antonnia
Haya majibwa kama yana kichaa mfano lile linalong'ata bati hadi mdomoni limechanwa na bati ila bado linakomaa tu [emoji28][emoji28]Kumbe kuna mbwa wanakula mabati aisee
Sasa Huyo ndo akutane na mguu wako aiseeHaya majibwa kama yana kichaa mfano lile linalong'ata bati hadi mdomoni limechanwa na bati ila bado linakomaa tu [emoji28][emoji28]
Kweli lakini huwa tunayafikiria tu na huwa hayatokei kwetu. Jambo la msingi ni kuwa na utulivu wa akiliIla hii dunia ina mambo makubwa
Mzee linaweza kukujeruhi ile mbaya. Kuna uzi humu ndani unaelezea aina tofauti za mbwa nilishangaa kusikia baadhi ya mbwa wanaua kabisa binadamu, hatari kubwa hii.Sasa Huyo ndo akutane na mguu wako aisee
Kwani story imefika mwisho!Kwahiyo mkuu UMUGHAKA huyo kaka yako Ally bado utajiri wake uko vilevile halafu vipi huyo dada yake(Farah) bado yupo au na yeye keshapitishwa kuwa msukule halafu vipi kuhusu ile bangiri uliyovalishwa mkononi ilitoka toka vipi au alfwata alipata mtu mwingine wa kumlisha
Je ni hii mistari ? Dejaneuume ukasimama kwa haraka kama nyoka aina ya koboko aliyeona hatari na kujiandaa kuikabiri,
Baada ya kumzamishia fimbo ya mnyonge isiyokuwa na huruma hata kidogo,
ninapomshika matako koboko anasimama nakumchomekea kisha kazi inaendelea!.
Ila umughaka anajua kusimulia jamani
[emoji28][emoji28][emoji28]Anataka tumjadili yeye