Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kwani ni chumaWew jamaa muongo sana eti ulimsukumia nyama hadi kunakucha,hahahaaaaaa
Kanifurahisha kwa kupiga kwa hasira kama vile Maya alikula nauli kisha hakutokea kwaiyo dogo akawa na hasira za nauli yake aliyotuma Mara ya kwanza na ya kutoleaππIla umughaka anajua kusimulia jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Shetani mwenyewe ndio kagoma hahitaji msamaha mkuu elewa hivyoHaijaandikwa msamehe aliyeomba msamaha naomba tuelewane hapo
Kwani ni chuma
We mjomba ake National Anthem una balaa wewe,yan mm nimesoma tu huo mstari wa chuchu na mm huku nikavuta picha ya Antonnia hii hapa,nawaza hilo boob lilivyotuna na kauchuchu kamesimama,si na mm huku nikaanza kushtua boxer mdogo mdogo Mara WiFi ako akaona pametuna ikabidi tuingie ndani nikapoze na shot moja kwanza wakat tunasubiria Dada apalie ubwabwaπAntonio de Guzman Hapa sijaanza kusoma kwa koments zenyuuuu tu naona kabisa chuchuu zishanisimamaaa mpaka basi nikisoma ndio ntalowajeeee uwiiii!!ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈπππππππ€£π€£π€£π
Hiyo impossible unayosema ni kwa wewe au kwa aliyezinzi a.k.a aliengonoka na msukule? Mwenzio tayari sasa keshafanya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787] unatomba msukule unaonuka BAO zaidi ya Moja impossible
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Unahisi kwanini alikuwa anachinja kuku kila mwezi? Boss hivi damu ya kuku inahusiana vipi na mtu kuwa tajiri au ya mtu huwa najifikiriaga nipate hii connection nashindwa au kuna kitu cha ziada?Way back nikiwa mdogo nilikuwa naishi na jirani yangu mpemba, alikuwa na mke na watoto pamoja na ndugu wengine wengi tu, nyumba yake ilikuwa na vyumba vinavyoangaliana mfano wa vyumba vya bweni ya shule, alikuwa ni mfanya biashara wa duka pia na hiace.
Alikuwa na watoto kadhaa mmoja wapo alikuwa kama taahira mda mwingi alikuwa anazubaa zubaa tu, basi kila mwanzo wa mwezi siku ya ijumaa alikuwa anachinja kuku kwenye kibaraza cha kuingilia ndani halafu anapika wali na ile nyama ya kuku na kuwaita watoto kula ila yeye na familia yake walikuwa hawali.
Nyumbani walinipiga marufuku kula kile chakula ingawa nilikuwa natamani sana kula lakini watoto wengine walikuwa wanakula na kufurahia, mpaka kuna wakati wakawa wanataimu siku yule mzee akichinja kuku na huku home wanapika wali maharage ili nisitamani kile chakula na kweli sikuwahi kula.
Ikapita miaka kadhaa, siku moja asubuhi nikasikia shehe khalifa amefariki nikashangaa kwani siku moja jioni kabla ya kifo chake alipita nyumbani wala sikuona kama ana dalili ya kuumwa, ila baadae maneno yakaanza kuzagaa kwamba jini/ majini yake yalianza kudai kafara la damu ya mtu hivyo ilibidi atoe kafara la damu la mtoto wake akachelewa kutii maagizo ndipo akafa yeye.
Sasa nilipokuwa mkubwa ndipo nikajua kwanini alikuwa anachinja kuku mlangoni kila mwezi.
Acha tuitwe misukule tu...kwa usimuliaji huu...unatukana matusi yote halafu kila baada ya muda mfupi unapita kimya kimya kuchungulia jipya..............Ila Umughaka usitufanyie hivyo Mungu hapendi πUzuri wa hapa ikishakuja episode Kunakuwa na ufulivu hadi kwa wale wanaowashauri mods kufuta huu uzi eti unapoteza muda! Wote tunakuwa tunaongea lugha moja Sasa alosto ya story ikiwa maximum kila mmoja anasema lakeπ
Uvumilivu usitutoke wapenda story wiki moja sio kubwa sana kufahamu kama Maya ndio Farhia
Mim ntaemtoa kafara ni Chizi Maarifa yeye anajifanya mpemba sijui Mzanzibar bas atawamba.Lovelovie twende nasisi basi tukapate magari Sasa tunamweka nani kama Maya Tena wa humu
πππππππππ!Asante mama japo chuchu zilikusimamaπ
π€£π€£π€£π€£π€£ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈ[emoji38]ila wewe
Very fukn interestingIla umughaka anajua kusimulia jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna aliyejitolea tayari chizi maarifa anagunduMim ntaemtoa kafara ni Chizi Maarifa yeye anajifanya mpemba sijui Mzanzibar bas atawamba.
Na usishangae mizimu ikamnawaKuna aliyejitolea tayari chizi maarifa anagundu
Acha kuilisha akili yako mawazo ya aina hiyo.Dah usione marange yanapita huko road ukajua watu wametusua.Watu wana mikataba migumu ya nguvu za giza.Wacha tutafute kawaida mbona zinapatikana tu hizi vitu.
Kuna mtu nimemwambia ivyo akaniambia kuwa kwani wazungu wao hawana uchawiAcha kuilisha akili yako mawazo ya aina hiyo.