Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Antonio de Guzman Hapa sijaanza kusoma kwa koments zenyuuuu tu naona kabisa chuchuu zishanisimamaaa mpaka basi nikisoma ndio ntalowajeeee uwiiii!!🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣😄
We mjomba ake National Anthem una balaa wewe,yan mm nimesoma tu huo mstari wa chuchu na mm huku nikavuta picha ya Antonnia hii hapa,nawaza hilo boob lilivyotuna na kauchuchu kamesimama,si na mm huku nikaanza kushtua boxer mdogo mdogo Mara WiFi ako akaona pametuna ikabidi tuingie ndani nikapoze na shot moja kwanza wakat tunasubiria Dada apalie ubwabwa😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787] unatomba msukule unaonuka BAO zaidi ya Moja impossible

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hiyo impossible unayosema ni kwa wewe au kwa aliyezinzi a.k.a aliengonoka na msukule? Mwenzio tayari sasa keshafanya.

Kwa hiyo wewe BAO moja pekee unaweza kuupiga msukule unaonuka🤣🤣🤣. Jamaa una roho ngumu kama UMUGHAKA
 
Way back nikiwa mdogo nilikuwa naishi na jirani yangu mpemba, alikuwa na mke na watoto pamoja na ndugu wengine wengi tu, nyumba yake ilikuwa na vyumba vinavyoangaliana mfano wa vyumba vya bweni ya shule, alikuwa ni mfanya biashara wa duka pia na hiace.
Alikuwa na watoto kadhaa mmoja wapo alikuwa kama taahira mda mwingi alikuwa anazubaa zubaa tu, basi kila mwanzo wa mwezi siku ya ijumaa alikuwa anachinja kuku kwenye kibaraza cha kuingilia ndani halafu anapika wali na ile nyama ya kuku na kuwaita watoto kula ila yeye na familia yake walikuwa hawali.
Nyumbani walinipiga marufuku kula kile chakula ingawa nilikuwa natamani sana kula lakini watoto wengine walikuwa wanakula na kufurahia, mpaka kuna wakati wakawa wanataimu siku yule mzee akichinja kuku na huku home wanapika wali maharage ili nisitamani kile chakula na kweli sikuwahi kula.
Ikapita miaka kadhaa, siku moja asubuhi nikasikia shehe khalifa amefariki nikashangaa kwani siku moja jioni kabla ya kifo chake alipita nyumbani wala sikuona kama ana dalili ya kuumwa, ila baadae maneno yakaanza kuzagaa kwamba jini/ majini yake yalianza kudai kafara la damu ya mtu hivyo ilibidi atoe kafara la damu la mtoto wake akachelewa kutii maagizo ndipo akafa yeye.
Sasa nilipokuwa mkubwa ndipo nikajua kwanini alikuwa anachinja kuku mlangoni kila mwezi.
Unahisi kwanini alikuwa anachinja kuku kila mwezi? Boss hivi damu ya kuku inahusiana vipi na mtu kuwa tajiri au ya mtu huwa najifikiriaga nipate hii connection nashindwa au kuna kitu cha ziada?
 
Uzuri wa hapa ikishakuja episode Kunakuwa na ufulivu hadi kwa wale wanaowashauri mods kufuta huu uzi eti unapoteza muda! Wote tunakuwa tunaongea lugha moja Sasa alosto ya story ikiwa maximum kila mmoja anasema lake😀

Uvumilivu usitutoke wapenda story wiki moja sio kubwa sana kufahamu kama Maya ndio Farhia
 
Uzuri wa hapa ikishakuja episode Kunakuwa na ufulivu hadi kwa wale wanaowashauri mods kufuta huu uzi eti unapoteza muda! Wote tunakuwa tunaongea lugha moja Sasa alosto ya story ikiwa maximum kila mmoja anasema lake😀

Uvumilivu usitutoke wapenda story wiki moja sio kubwa sana kufahamu kama Maya ndio Farhia
Acha tuitwe misukule tu...kwa usimuliaji huu...unatukana matusi yote halafu kila baada ya muda mfupi unapita kimya kimya kuchungulia jipya..............Ila Umughaka usitufanyie hivyo Mungu hapendi 😄
 
Back
Top Bottom