Kutunga tunga vitu shida sana.Naoma ametupia sehemu ya 20 halafu ameiondoa
Asante mama japo chuchu zilikusimama😂
Siyo mpaka uchovu. Aliliwa mpaka asubuhiHuyo farah ndio Maya. Oanisha matukio ya siku alipogongwa na jamaa alichelewa kuja kazini maana yake aliliwa mpk uchovu. Then anakuja msifia jamaa ni noma
Ndio mwenyewe oanisha tukio la kuchelewa kufungua duka. Maana ake baada ya kukazwa sana usiku alichelewa kazini[emoji16]Ukute huo msukule ndio Farah mwenyewe doh mazingaombweee[emoji119][emoji119]!!
Ngoja tusubirie episode inayofuata nextdoor Saturday hioooo!!
Kabisa... hio siku tena walikesha kabisa!Ndio mwenyewe oanisha tukio la kuchelewa kufungua duka. Maana ake baada ya kukazwa sana usiku alichelewa kazini[emoji16]
Kuna huyu amejitolea kabisa Kwa hiariNa usishangae mizimu ikamnawa
Kuna mtu nimemwambia ivyo akaniambia kuwa kwani wazungu wao hawana uchawi
Tayari ameshaathirika na imani za kishirikina, anahitaji msaada.Kuna mtu nimemwambia ivyo akaniambia kuwa kwani wazungu wao hawana uchawi
Chiz maarifa amesoma chuo gani ?UMUGHAKA weka sehemu ya 20 la sivyo namfungulia mbwa wangu Chizi Maarifa aje akubwekee bwekee kidogo
plus mchoro wa mkononi ni sawa na wa mayaNdio mwenyewe oanisha tukio la kuchelewa kufungua duka. Maana ake baada ya kukazwa sana usiku alichelewa kazini[emoji16]
Kabisa... hio siku tena walikesha kabisa!
Umeongea uhalisia sana kamanda.Umughaka sio kwamba hana akili ana mapungufu fulani tu kwenye kufanya maamuzi ya haraka, na kila mwanadamu ana mapungufu yake
Kwa jinsi alivyosimulia story zake zote kwa mtiririko mzuri na details nyingi kiasi hiki, inamuonyesha ni mtu mwenye akili na uwezo mkubwa wa kuweka kumbukumbu
Kitu kimoja nilichokiona kwake kama kasoro ni hana uwezo wa kujiamulia mwenyewe kwa haraka, maamuzi yake mengi ni ya kuchelewa au ya kuamuliwa na marafiki
Ngoja nitoe mifano michache, kule alipoenda kwa shemeji yake anayevua samaki, shemeji yake hakumlipa mshahara kama alivyoahidi kwa miezi kadhaa, lakini akawa anasita kumuuliza na kuondoka pale kwake
Kuna ile ya kupelekwa kwenye danguro alipofika Dar na kuomba kuonyeshwa gesti, alipoona ni Danguro palepale alitakiwa kuondoka na kutafuta gesti mwenyewe lakini akasita pia kuchukua uamuzi
Kuna hii alipoenda kwa mjomba wake na akawa anasaidia kutawaza mgonjwa, hapa alikuwa na haki ya kuondoka sababu ilikuwa inafahamika kwa wenyeji wake kuwa hakuja kukaa kwa muda mrefu na alitakiwa kuondoka baada ya siku chache tu, lakini akawa anasita tena, hadi akalazimishwa kuondoka na ile hostility aliyoonyeshwa na wenyeji wake
Kuna hili la Mpemba kumpeleka huko Chumbe, hapa alikua anajuà kabisa sio sahihi na ni hatari kwake, lakini pia akashindwa kumvaa usoni Mpemba na kuamua kumlatalia pale pale
Kuhusu kumuamini yule jamaa mlevi na kumpa milioni 9, hili hapa linaweza kumkuta yoyote, sababu ndio kwanza alikuwa ametoka kufanya biashara na Mtatiro, ambaye japo hakuwa ndugu yake walifanya kwa uaminifu mkubwa na kugawana faida, sasa saikolojia yake tayari inakuwa inawaza, kama Mtatiro ambaye sio ndugu yangu hajanitapeli, huyu ndugu wa damu moja hawezi kunitapeli, tutafanya vizuri kama Mtatiro (hapo hakuwa anajua kama ndugu ni mlevi)
Ni kasoro ambazo watu wengi tunazo, hata mimi kuna maamuzi mengi ya kipuuzi nafanya kisha najiuliza hivi kwa nini nisngeamua vile? Lakini sio kukosa akili, maana katika watu wenye akili Tanzania, mimi nipo, kwa mujibu wa NECTA
Lakini tupunguze kum judge tufurahie story, maana kila mtu akisimulia maisha yake haya, yatakuwa na blunder nyingi sana
Shangazi yangu Antonnia anapenda sana kusukumiwa nyama ya fimbo ya mnyonge, 😃😃😃😃We mjomba ake National Anthem una balaa wewe,yan mm nimesoma tu huo mstari wa chuchu na mm huku nikavuta picha ya Antonnia hii hapa,nawaza hilo boob lilivyotuna na kauchuchu kamesimama,si na mm huku nikaanza kushtua boxer mdogo mdogo Mara WiFi ako akaona pametuna ikabidi tuingie ndani nikapoze na shot moja kwanza wakat tunasubiria Dada apalie ubwabwa😂
Umetisha mkuu,master ameshakula mzigoDoctor G Santos06 Restless Hustler mafian Carter mmash cocastic Wigelekelo mambo mukide mukide hukuuuu kiduu dedeeee[emoji16]!
Yupo sehemu ya ngapi sasa hivi?Umeongea uhalisia sana kamanda.
Mimi nina udhaifu wa kutomwambia mtu ukwel live.
Yan nawez jua kabisa hiki unachonambia siko tayari kuvanya ila huwa siwez kukataa japo ukwel sitafanya.Sasa badae huwa najiuliza kwann nisingesema tu ukwel badalaya kuamza kutafuta excuses baadae kutaka tu kum please mtu!!??
Pia kuna time huwa nasita sana kudai haki yangu kisa tu nahisi nitamkwaza mtu atanifikiriaje!.
So hay ya huyu jamaa ni makosa ya kibinaadam kabisaaaaa hata kama hii ni chai