Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna mtu nimemwambia ivyo akaniambia kuwa kwani wazungu wao hawana uchawi

Bila kuwa na nidhamu ya maisha, kujituma hayo mavogue watu wataishia kuyaona tu. Maana wengi wanadhani uchawi ndio unaleta utajiri na mafanikio ingekuwa hivyo basi sehemu zinazosifika kwa uchawi wangekuwa ni matajiri sana.
 
Umughaka sio kwamba hana akili ana mapungufu fulani tu kwenye kufanya maamuzi ya haraka, na kila mwanadamu ana mapungufu yake

Kwa jinsi alivyosimulia story zake zote kwa mtiririko mzuri na details nyingi kiasi hiki, inamuonyesha ni mtu mwenye akili na uwezo mkubwa wa kuweka kumbukumbu

Kitu kimoja nilichokiona kwake kama kasoro ni hana uwezo wa kujiamulia mwenyewe kwa haraka, maamuzi yake mengi ni ya kuchelewa au ya kuamuliwa na marafiki

Ngoja nitoe mifano michache, kule alipoenda kwa shemeji yake anayevua samaki, shemeji yake hakumlipa mshahara kama alivyoahidi kwa miezi kadhaa, lakini akawa anasita kumuuliza na kuondoka pale kwake

Kuna ile ya kupelekwa kwenye danguro alipofika Dar na kuomba kuonyeshwa gesti, alipoona ni Danguro palepale alitakiwa kuondoka na kutafuta gesti mwenyewe lakini akasita pia kuchukua uamuzi

Kuna hii alipoenda kwa mjomba wake na akawa anasaidia kutawaza mgonjwa, hapa alikuwa na haki ya kuondoka sababu ilikuwa inafahamika kwa wenyeji wake kuwa hakuja kukaa kwa muda mrefu na alitakiwa kuondoka baada ya siku chache tu, lakini akawa anasita tena, hadi akalazimishwa kuondoka na ile hostility aliyoonyeshwa na wenyeji wake

Kuna hili la Mpemba kumpeleka huko Chumbe, hapa alikua anajuà kabisa sio sahihi na ni hatari kwake, lakini pia akashindwa kumvaa usoni Mpemba na kuamua kumlatalia pale pale

Kuhusu kumuamini yule jamaa mlevi na kumpa milioni 9, hili hapa linaweza kumkuta yoyote, sababu ndio kwanza alikuwa ametoka kufanya biashara na Mtatiro, ambaye japo hakuwa ndugu yake walifanya kwa uaminifu mkubwa na kugawana faida, sasa saikolojia yake tayari inakuwa inawaza, kama Mtatiro ambaye sio ndugu yangu hajanitapeli, huyu ndugu wa damu moja hawezi kunitapeli, tutafanya vizuri kama Mtatiro (hapo hakuwa anajua kama ndugu ni mlevi)

Ni kasoro ambazo watu wengi tunazo, hata mimi kuna maamuzi mengi ya kipuuzi nafanya kisha najiuliza hivi kwa nini nisngeamua vile? Lakini sio kukosa akili, maana katika watu wenye akili Tanzania, mimi nipo, kwa mujibu wa NECTA

Lakini tupunguze kum judge tufurahie story, maana kila mtu akisimulia maisha yake haya, yatakuwa na blunder nyingi sana
Umeongea uhalisia sana kamanda.
Mimi nina udhaifu wa kutomwambia mtu ukwel live.

Yan nawez jua kabisa hiki unachonambia siko tayari kuvanya ila huwa siwez kukataa japo ukwel sitafanya.Sasa badae huwa najiuliza kwann nisingesema tu ukwel badalaya kuamza kutafuta excuses baadae kutaka tu kum please mtu!!??

Pia kuna time huwa nasita sana kudai haki yangu kisa tu nahisi nitamkwaza mtu atanifikiriaje!.

So hay ya huyu jamaa ni makosa ya kibinaadam kabisaaaaa hata kama hii ni chai
 
We mjomba ake National Anthem una balaa wewe,yan mm nimesoma tu huo mstari wa chuchu na mm huku nikavuta picha ya Antonnia hii hapa,nawaza hilo boob lilivyotuna na kauchuchu kamesimama,si na mm huku nikaanza kushtua boxer mdogo mdogo Mara WiFi ako akaona pametuna ikabidi tuingie ndani nikapoze na shot moja kwanza wakat tunasubiria Dada apalie ubwabwa😂
Shangazi yangu Antonnia anapenda sana kusukumiwa nyama ya fimbo ya mnyonge, 😃😃😃😃
 
Umeongea uhalisia sana kamanda.
Mimi nina udhaifu wa kutomwambia mtu ukwel live.

Yan nawez jua kabisa hiki unachonambia siko tayari kuvanya ila huwa siwez kukataa japo ukwel sitafanya.Sasa badae huwa najiuliza kwann nisingesema tu ukwel badalaya kuamza kutafuta excuses baadae kutaka tu kum please mtu!!??

Pia kuna time huwa nasita sana kudai haki yangu kisa tu nahisi nitamkwaza mtu atanifikiriaje!.

So hay ya huyu jamaa ni makosa ya kibinaadam kabisaaaaa hata kama hii ni chai
Yupo sehemu ya ngapi sasa hivi?
 
Back
Top Bottom