Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Ila hakupewa.server zipo washinton dc
 
Hii stori imenifumbua macho sana, kuna jirani yangu ana ghorofa zuri ila yeye anaishi kwenye boycoter halafu mbuzi wake wawili ndio wanaishi kwenye ghorofa, hana familia ni anaidhi peke yake na mbuzi hapo kwake
Huo si ushirikina wa mchana kabisa daa jamani pesa hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…