Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Umeusoma uzi mwenyewe,hujaitwa wala kuombwa usome,wala huu sio msaafu,mwenye uzi ndo anaweka masharti ya uzi wake,pia mjifunze ku thamini muda wa mtu anao jitoa kwa ajili ya burudani kwa wengine
UMUGHAKA yule Demu wako mchawi ungekua una mawasiliano nae ungewashusha vibusha hawa wajuaji wa humu...
 
Usije sema sikukuambia kuwa ni mke wa mtu.

Bwana ake hayupo humu JF maana huyo jamaa hajui kucheza na keyboard, Ila kuna mashemeji zake humu watamtonya hakika ndipo utakapoucheza muziki wa kijeeta hahahaaa usiombe yakukute.
Haujui Muziki wa kijeeeeta huyo anajitoa Ufahamu tu humu !
Wabheja sana msukuma
Tatizo binadamu ni wabishi sana!
 
Duu mura unaroho ngumu jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] shetani asubili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na watu wanavyopenda story duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U remind me about something I was about to forget......related true story & naked truth!......

Maeneo flani hapo banana ukonga,

Kuna mtaa unaitwa mtaa wa hali hewa....ni jirani kabisa na ofisi za TMA-mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa.. maeneo ya kipunguni-hali ya hewa,

Kuna nyumba Moja ni maruufu kwa uuzaji wa Maji miaka na miaka! maeneo hayo tangu zamani....Al maarufu panafahamika kama kwa Bacho!

Kuna hekalu kubwa la vigae vyekundu juu na kabustani kazuri kulizunguka hilo hekalu,

Jamaa anajihusisha na mambo ya clearing bandarini.....hilo jumba tangu tukiwa wadogo miaka ya 89,90 hadi sasa nnapoandika....

Haijawahi kaliwa na mtu yeyote.....ni mahindi tu! Huwa yanaanikwa hapo....

Jamaa yeye miaka yote anakaa kwenye nyumba ndogo ya chumba sebule! Hapo hapo na ana gari kali tu huwa anabalisha. Hii dunia ina mengi aisee!
Hii stori imenifumbua macho sana, kuna jirani yangu ana ghorofa zuri ila yeye anaishi kwenye boycoter halafu mbuzi wake wawili ndio wanaishi kwenye ghorofa, hana familia ni anaidhi peke yake na mbuzi hapo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…