Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ndo kwanza nipo naitafuta ya 20, sema unanitafutia kesi kwa bosi mwachiiiiPakiJinja Intelligent businessman Wigelekelo Master anaenda toa kafara la kwanza la mtu kumwaga damu. Mkuje mambo yanatisha huku ushetani bin shetwani sasa ππππ
Santo sana sis ngoja nisome
Santo sana mkuu nishatia timu naanza kuisoma sasa... wapiiii Antonio de GuzmanSafi sana mura haya wale majobless akina Antonnia na team yako kujeni mmalize bando
Nimeona aisee, Pombe na Wezere la Rehema vimepelekea Mkurya achanganye gear na kukiuka masharti.PakiJinja Intelligent businessman Wigelekelo Master anaenda toa kafara la kwanza la mtu kumwaga damu. Mkuje mambo yanatisha huku ushetani bin shetwani sasa ππππ
Umeliona hilo eeh, sasa wajuaji wa humu wakawa wanamlaumu kwanini kamuingiza Rehema kwenye story!!!Napenda namna UMUGHAKA anavyosimulia very simple lakini technical. Kuna small details anaitroduce halafu baadae ndio unakutana na connection yake mbele. Mfano namna alivyounganisha story ya rehema dah. Big up mzee
Sio Umughaka huyo ni user mwengine ka copy na kupasteMaster.... Hii episode tayari ulituwekea ( Umeirudia hii)
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimeanza kufuatilia story zake tangu Ile ya kwanza. Anajua sana kusimulia kinachonifurahisha anaweka simulizi yake kuwa rahisi sana kuielewaUmeliona hilo eeh, sasa wajuaji wa humu wakawa wanamlaumu kwanini kamuingiza Rehema kwenye story!!!
JF kuna wajuaji wa kishamba sana, msimuliaji mwingine, anatokea mtu anampangia nini cha kusimulia!!!
Wewe msomaji mzuri na mdadisi Mkuu Imma_
Ndio uache kukalia kiti Cha mbele sasaPakiJinja Intelligent businessman Wigelekelo Master anaenda toa kafara la kwanza la mtu kumwaga damu. Mkuje mambo yanatisha huku ushetani bin shetwani sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Siti ya mbeleSanto sana sis ngoja nisome
Kwakweli!! Hata kupokea pokea zawadi sometimes nuksi sanaπ€£π€£ππ
Hata hizi chupi za upako za kuogopa sanaKwakweli!! Hata kupokea pokea zawadi sometimes nuksi sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Tumeambiwa tusikae Siti ya mbele ni yanyuma haya ona rehema alichopatiwaNdio uache kukalia kiti Cha mbele sasa
Asante sana kwa mwito wako
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ndo mana viatu huendi kuvichukua ofisini kwenye osaka raha! Ni wiki sasaMasikini Rey wawatu lol!!
Nimejifunza kitu hapaaa kwenye zawadi tunazopewa na watu wetu!