Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nasemaga ukweli nikipewa lift nakaaga nyuma walahi roho inaniambiaga Kaa nyuma sio mbele hadi wenyewe wanashangaa Kuna huyo mdudu wanaume Mungu anawaona kumbe chupi mtu anileteazo ni zimetoka kwawanganga Dah! Mungu anawaona ndio maana napataga hedhi haba kumbe tunatumika aisee
 
Kitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.
 
Napenda namna UMUGHAKA anavyosimulia very simple lakini technical. Kuna small details anaitroduce halafu baadae ndio unakutana na connection yake mbele. Mfano namna alivyounganisha story ya rehema dah. Big up mzee
Umeliona hilo eeh, sasa wajuaji wa humu wakawa wanamlaumu kwanini kamuingiza Rehema kwenye story!!!
JF kuna wajuaji wa kishamba sana, msimuliaji mwingine, anatokea mtu anampangia nini cha kusimulia!!!
Wewe msomaji mzuri na mdadisi Mkuu Imma_
 
Nimeanza kufuatilia story zake tangu Ile ya kwanza. Anajua sana kusimulia kinachonifurahisha anaweka simulizi yake kuwa rahisi sana kuielewa
 
Back
Top Bottom