Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Wewe ukiambiwa ni au ufe wewe au umtoe aliyesababisha utaamuaje
 
Hii story ni funzo tosha.
 
Pole sana next time ukipokea kazichome moto. Hii dunia ina mambo ya hovyo sana nakumbuka kipindi Cha nyuma 2014 kuna nyumba nilikuwa nimepanga huyo Mama mwenye nyumba kuna siku niliota ndoto anampa Chakula dogo aniletee kile Chakula nilipokea nikakiweka mezani likaanza kutoa Mende weusi wengi sana kweli kuna siku ya Idd kaniletea Chakula siku kila nilienda kuki flash chooni tu. Vya bure havina maana kabisa turidhike na kile tulichonacho

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
angetumia zake boda boda na dalala, angeendelea kujitombear zake Rehema.. kwa raha zake.. Kuna matajiri wengi wanaishi kiajabu ajabu kuepuka kunasa kwenye mitego..
PakiJinja Intelligent businessman Wigelekelo Master anaenda toa kafara la kwanza la mtu kumwaga damu. Mkuje mambo yanatisha huku ushetani bin shetwani sasa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa angeuliza nini wakati alikuwa anafokewa na yeye yawezekana alikuwa kwenye taharuki

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Umeliona hilo eeh, sasa wajuaji wa humu wakawa wanamlaumu kwanini kamuingiza Rehema kwenye story!!!
JF kuna wajuaji wa kishamba sana, msimuliaji mwingine, anatokea mtu anampangia nini cha kusimulia!!!
Wewe msomaji mzuri na mdadisi Mkuu Imma_
Asilimia kubwa humu ni wale waliokimbia Facebook kwa sababu kule walikuwa wa natumia majina yao halisi na humu wamekuja kuvuruga hali ya hewa tu. Hii Simulizi ina mafunzo mengi kuliko wao wanavyotaka waburudike tu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukiambiwa ni au ufe wewe au umtoe aliyesababisha utaamuaje
Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.
 
UMUGHAKA hebu angalia namna ya kufidia muda tuliokalishwa bench kuisubiri stori yako,tuwekee hata episode mbili mbili kwa hizi siku zilizobakia...tupo nyuma ya muda .[emoji23][emoji23]
Kwani hujamwelewa alichokisema? Mbona unakuwa mpuuzi hivi? Hii Simulizi ni darasa tosha sio kama wewe mpuuzi unayefikiria ni burudani.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa angeuliza nini wakati alikuwa anafokewa na yeye yawezekana alikuwa kwenye taharuki

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio hapo tuu yaani yeye toka anashuka ubungo siku ya kwanza haulizi zaidi ya kukubali anachoambiwa na yoyote . Ally ndio kamshika masikio kabisaa anampeleka anavyotaka. Ngoja tuone mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…