Kitu kingine ninachojiuliza wewe
UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.