Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.
Ha ha umeongea kwa uchungu sana, una reason wapi wakati ushavaa bangili
 
Nasemajeeee Mimi huyu🙌🏼 teeeena🙌🏼 bora nichape lapa kutoka posta hadi mapinga. Ona rehema anaenda kufa kisa mserereko. Akhaa😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Au bora Kupanda haisi tuuuu unajiona ufahari babee kakupakiza kwa ndinga lakee unaweka na kipepsi kabisa mwenyewe kumbe ulipokakaa ishawekwa dawaaa wanataka damu yakooo nyieeee🙌🙌🙌🙌!;
Nahii pokeapokea vitu huku tunafurahiiiii tunakenuaa wenyewe babe kaniletea zawadiii jamanii jamani🙌🙌🙌🙌
 
Rehema
Screenshot_2022-08-02-21-56-33-48.jpg
 
Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.

Kumbe sababu ni kukaa siti ya mbele [emoji28]
 
Hili ni kweli, utajiri wa masharti tumeona watu wana kwepa, kwa njia hiyo. Kuna matajiri wengi wakubwa mzee hawatumii magazine hapa mjini ? wengine hawali vizuri. kama ingekuwa ni real asingetumia gari mkenge wa rehema asinge uvaa
Kuna Mangi mmoja ana hela sana Makumbusho ana duka kubwa, Mwananyamala ana maduka mawili ya rejareja yamejaa full, Kinondoni ana duka na Manzese ana maduka mawili ya Hardware. Sijawahi kumuona amevaa viatu ni Kanda mbili na baiskeli kila nikimuona na simu yake ni Nokia 105 ya miaka 14 iliyopita imefungwa na rababendi. Aisee kwa mujibu wa Wambeya Jamaa huwa anaenda Pemba kwa Mtaalamu kila mwezi.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Pole sana hakuna jambo linalodumu. Kila kitu ni cha kupita. Kuwa na mawazo chanya na usikubali kupokea vitu ambavyo hujavifanyia kazi. Yaani kama wewe ni Mkristo kuna Verse ya Bible kitabu cha Hebrew 13:5 kina maneno mazuri. Yanasema Keep away your life from love of money and be content with what you have as he said I will never fail nor forsake you.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom