trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Huyu toka enzi za monica hataki kujishughulisha kufikiria, ukisoma hata ile hadithi alikuwa anafanya kila anachoambiwa hata haulizi atakwambia tuu "nilijiuliza sana bila kupata majibu nikakaa kimya" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwahiyo ile bangili sio sababu bali ni tabia yake mkurya huyuHa ha umeongea kwa uchungu sana, una reason wapi wakati ushavaa bangili