Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ukumbusho kwa wanaume wenzangu
Msihadaike na profile picture za wanawake wa humu jf, wengi wao ni wale wanawake wabaya mtaani wasiokuwa na soko ndio wanapata ahueni kuchat humu mitandaoni.
Huu ujumbe kaandika member fulani humu, eti ni kweli?
Siku ukipata kujuana baadhi ya wanawake humu, hautakuwa na uthubutu wowote wa kuandika hivi.