Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

sehemu ya 24:

Niwe muwazi baada ya kumtajia Farah jina Zahra alionekana kama kupatwa na hudhuni sana sijui kwa nini ?

Nikaamua sasa nibadilishe maelezo na kumuomba angalau anifunulie nikabu yake niuone uso wake kabla sijamueleza nilimfahamu vipi Zahra

Alifikiria kama kwa dakika mbili kisha akaniauliza,hivi master siku hizi una shida gani kichwani maana umekuwa ukiniuliza maswali ya kiajabu ajabu sana mpaka nashindwa kukuelewa au ulikuja kuzuga zuga huku kwenye kusajili line ili uichimbue vizuri familia yetu,sasa kwa mfano sasa hivi unataka uuone uso wangu ili iweje ?

Nikaamua kumjibu tu kwa mkato" kama unataka nikueleze japo kwa ufupi ni vipi nimemjua Zahra nifunulie hiyo nikabu yako niuone uso wake"

Nikapiga hatua taratibu kuiendea meza yangu ila nikamsikia Farah akiniita kwa sauti ya hudhuni "master master master" nikageuka fasta akanionesha ishara ya kurudi nikarudi fasta dukani

Farah huku akionesha kulengwa lengwa na machozi akaniambia tafadhali master nieleze japo kwa ufupi ni vipi ulimfahamu zahra, ndugu yangu wa damu aliyekufa kifo cha ajabu sana


Itaendelea......
 
Ukumbusho kwa wanaume wenzangu
Msihadaike na profile picture za wanawake wa humu jf, wengi wao ni wale wanawake wabaya mtaani wasiokuwa na soko ndio wanapata ahueni kuchat humu mitandaoni.


Huu ujumbe kaandika member fulani humu, eti ni kweli?
Tena yule jamaa alisema usione zile profile picture zinavutia vile mara wanajichatisha uwaone kuwa n pisikali kumbe n sura mbovu hatari Ila wanaichukulia JF Kama sehemu ya kujifariji mana hawana sehemu ya kupata faraja zaidi ya kukutana na madomo zege ya jf na kuchatishana.

Sasa nauliza inamana Hawa madem wanaojichatisha n kweli n sura ngumu na hawana watu wakuwafariji mpaka waje humu wakutane na madomo zege a.k.a nyuki wa mashineni na kupeana faraja?
 
Alwayz love wins[emoji123][emoji3577], ray amepona!
 
Bandiko hili lisomwe na Skylar
 
Ukiona mwanaume kaandika hvyo ujue yameshamkuta huko
 
☺️☺️☺️☺️
Halafu naona makasiriko mazito kwa some boys humu...tuwaite boys ni kama vile huko mtaani hawapendwi sura zao nzito hivyo wakiona wadada wako na good terms na wakaka huku wanaonea wivu mpk Avatar doooh....
Wanataka watu msisocialize mkiongea wanaona mnatafuta soko...hawajui watu tupo under custody...
 
Nyoko dear!
 
Tatizo kubwa ni kua hawana pesa,
Mwanaume anaonea wivu hadi makalio ya wanawake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Alaf bado wanataka ety tuwaite na wao ni wanaume.
Me nlikwambia ccy hapa ndani wenzetu wengi sana.
 
Mwanaume ana ID kama embe ng'ong'o.
Anaonea wivu mwanamke kua na mguu wa bia.
πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Wanaume wa siku hizi πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
National Anthem Bantu Lady kitalembwa Lovelovie mafian Carter Restless Hustler kiduku mpapaso Wigelekelo Antonio de Guzman Ushimen leadermoe Doctor G master kashusha kit episode 23 hukuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…