Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
SiJaamini nmeperuzi uzi wote leo page 5244 na story haijaisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesahau jina ila hako katot kalikuwa kanakul mahindi km ana machine kwa mdomo tena mabichiInaitwaje hii ndugu
Ile nilisoma kidogo hata sijawaielewa eti!!Kuna ile story ya Congo [emoji1078].. japo mwandish sio mzur kwenye kuelezea
Sawa tuuJobless
Zile zilikua chai tu za kiJF...tofauti kabisaa..😂😂😂😂😂😂
Tukianguka tunanyanyuka na kukung'uta vumbi kisha tunaendelea, usinambie ni yule single mama..!!
Yeah ni kweli kabisa. Lakini pia kuna somo kwamba kama una siri inayokupa maendeleo/mafanikio usidiriki kumwambia mtu yeyote Hata ajioneshe kuwa mwaminifu kiasi gani maana hawawezi kuitunza hiyo siri kama unavyoweza kuitunza weweSema kitu nimejifunza kwenye hii hadithi ni kuwa makini na watu wapya , connection za watu wapya , marafiki msiofanana kipato na uchumi muda mwingine ni kuwa nao makini sana, mtu analeta mazoea anajifanya anakubali harakati zako kumbe lengo akutumie kwenye issue zake kama Omughaka
nashukuru ndugu, ila sababu zangu binafsi mara nyingi huwa sizisemi adi tujuane na kafahamiana kwelikweli. migogoro pia huanza na maneno.Njoo Pm uniambie maeneo unaona hayapo sawa nikufafanunulie mkuu
jamaa mmoja alisikika akisema, utamu wa embe liliwe gizani.Wanawake wa JF ni wabovu hata filter zinawakataa, waacheni tu waweke profile za kina Beyonce wapate nao watu wa kuchat nao
We jamaa SALUTE kwakoUtajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 23.
Sikutaka kabisa kupoteza muda,baada ya kufanikisha lile zoezi la ununuzi wa chupi nilimtafuta Rehema nikajaribu kuongea nae na kumshawishi kuhusu ile zawadi.
Rehema "baby sasa size yangu umeipatia kweli?"
Mimi "Nimejitahidi baby wala usijali!"
Rehema "Zikinibana utazirudisha?"
Mimi "Nitakununulia nyingine!"
Rehema "Mmh haya bwana!"
Aliendelea "Uko wapi?"
Mimi "Natoka mjini naelekea nyumbani"
Rehema "Umefika wapi?"
Mimi "Bado nipo mjini"
Rehema "Pita basi Sokoni unisubiri nikusanye madeni yangu halafu tuondoke wote nyumbani!"
Mimi "Ila sina gari nimeipeleka gereji!"
Rehema "wewe pita bana kwani mpaka uwe na gari?"
Mimi "sawa nakuja mama"
Niliondoka kupanda gari nikashukia pale Ilala sokoni ambapo nilimpigia simu Ray akawa ameniambia nimsuburi mahali kwanza achukue hela zake,sasa baada ya kumalizana na watu wake alikuja akiwa amevaa mini sketi na tisheti nyupe iliyompendeza kupita kiasi,jioni ile sasa ndipo niliuona uzuri na umbo la Rehema kwa umakini na kiukweli alizidi kuichanganya akili yangu,kiukweli ni mwanamke ambaye Mungu alimjaalia umbo zuri sana,ingawa alikuwa na sura ya kawaida na alikuwa ni mwanamke fulani asiyekuwa na makuu,ulikuwa ukimuangalia kichwani alipenda sana kusuka Yeboyebo,pamoja na shepu yake kunichanganya lakini nilijikuta tu kadiri siku zilivyokuwa zikisonga ndipo nilimpenda kuzidi.
Mimi "Umependeza!"
Rehema "Sasa nimependeza na nini!"
Mimi "Kwahiyo wewe hujioni?"
Rehema "mmh aya bwana"
Aliendelea "Nipe basi hela ninunue mahitaji twende tukapike!"
Nilichukua elfu 20 nikampatia akawa ameniachia mkoba wake nimshukie na yeye aliondoka kuelekea tena sokoni kwa ajili ya kununua mahitaji.Baada ya kukamilisha alirejea tena akiwa amefungasha mazaga ya kutosha kwenye mifuko.
Mimi "Madumu ya juisi umeyaweka wapi?"
Rehema "Leo namshukuru Mungu nimemaliza mapema,nilirudi tu kuchukua hela maana watu wateja wangu wengi huwa wananilipa jioni hivyo huwa narudi kwanza nyumbani"
Mimi "sawa"
Tulipanda gari kuelekea Gongo la mboto na tulipofika tu nyumbani Rehema hakutaka mambo yawe mengi,aliniambia nimpatie chupi zake nilizokuwa nimenunulia kama zawadi azijaribu,alichukua lile begi langu ambalo ndani niliiweka ile dawa pamoja na zile chupi akawa amefungua zipu na kutoa zile chupi akaanza kujaribu moja baada ya nyingine,chupi zote zilimtosha kana kwamba alikuwa ametengenezewa yeye!,alifurahi sana.
Rehema "Kweli unanipenda nimeamini!"
Mimi "Kwanini?"
Rehema "Kama nimekuvulia chupi mara moja na umekiona kiuno changu na hujakosea basi wewe ndiye mume wangu naamini!"
Kauli ile ya Rehema ilizidi kunichanganya sana kiakili.Nilipaswa zile chupi nizitie dawa kabla ya kuzivaa ili akishaivaa ile nyekundu kazi ianze mara moja lakini nilijikuta ndiyo upendo unakolea sana na nilipokuwa nikimtazama ile shepu yake wakati anabadili zile chupi ni hakika ni kichaa tu ndiye angekubali kumpoteza Rehema.
Sasa baada ya Rehema kuanza kuweka mazingira ya kupika kule nje,niliichukua ile dawa nikaiweka mfukoni nikawa nimetoka nje.Sasa mahali nilipokuwa nikikaa mimi hakukuwa mbali na lerini(leri ya kati),niliondoka kuelekea huko lerini na nilipofika niliitupa ile dawa pembezoni mwa leri vichakani kisha nikarudi zangu nyumbani mdogo mdogo!.
Nilipofika nyumbani nikiwa nimewasha luninga naangalia,ghafla simu ya Ally Mpemba ikawa inaita,niliingalia ile simu kidogo nisiipokee ila niliamua kuipokea.
Ally Mpemba "Habari ya jioni master"
Mimi "Nzuri kaka,za huko"
Ally Mpemba "Uko wapi?"
Mimi "Nipo nyumbani kaka"
Ally Mpemba "Nilikuamini ila umejikosesha mwenyewe,jitafakari?"
Aliendelea "Kuna mtu naomba umkabidhi funguo wa nyumba yangu"
Mimi "Lakini kaka nimefanya mistake tu "
Ally Mpemba "wewe bado dogo haya mambo yatakugahrimu,shauri yako!"
Baada ya jamaa kuniambia vile akawa amekata simu,mimi niliamua likalotokea ngoja litokee lakini kiukweli sikutaka kabisa kumtoa kafara mwanamke mzuri Rehema ambaye hakuwa na hatia hata kidogo ingawaje pia nilikuwa nikimpenda sana tu!.Wakati nikiwa sebuleni Rehema alikuja kuniita ndani akisema kuna mtu ananiita nje.
Sasa nilipotoka nje nilikutana uso kwa uso na Farah na kiukweli mwanamke yule alikuwa akifanana sana na Maya na sikuwahi kuelewa alikuwa ndiye wa dukani pale kkoo au huyu yeye alikuwa ni nani?maana yule wa kkoo yeye aliwahi kuniambia hakuwepo kwa muda wa wiki 2,sasa Je huyu ni nani?,hilo lilikuwa ni swali gumu sana kwasababu hakuna aliyeweza kunipatia majibu.
Farah "Habari yako Master?"
Mimi "Nzuri dada Farah "
Farah "Naomba funguo wa nyumba"
Niliingia ndani kuchukua funguo kisha nikamletea,baada ya kumpatia ule funguo akanishukuru kisha akawa anatoka nje nami nikawa namsindikiza,sasa lengo langu ni tutoke nje nimuombe aongee na Ally Mpemba aniombee msamaha kwa kile nilichokuwa nimekifanya,sasa baada ya kutoka nje niliikuta ile Range ikiwa imepaki na sikutaka kabisa kusubiri ikabidi nimuulize funguo wa ile gari ameitoa wapi wakati mara zote nilikuwaga nikiiacha ndani ya ile nyumba na funguo wa nyumba ndiyo alikuwa amekuja kuuchukua!.Nilibaki nikishangaa sana.
Mimi "Dada nilikuwa nakuomba niongee nawe kidogo!"
Farah "Kesho tuonane!"
Mimi "Sawa"
Alipanda kwenye gari akawa ameondoka.Nilidhani uenda yeye alikuwaga na funguo wa lile gari lakini nilizidi kuchanganyikiwa kwasababu lile geti la ile nyumba lilikuwa limefungwa.Sikutaka kabisa maneno na Ally Mpemba kwasababu ni mtu aliyekuwa akiniamini sana na nilitaka kufanya kila kinachowezekana nimuombe msamaha.
Rehema "Huyo ni nani?"
Mimi "Ni mdogo wake na bosi wangu!"
Ilikuwa ni mara chache sana mimi kulala pale nyumbani kwangu tangia nimejuana na Ally Mpemba kila mara anapokuwa akisafiri,mara zote ambazo anakuwa hayupo nilikuwa nikilala pale kwake kwenye ile gari ndogo ambayo alinipatia.Sasa kwakuwa nilikuwa nishaharibu alinikataza kabisa mimi kulala pale kwake hadi nifanye jambo nililokuwa nimeelekezwa na Mzee wa Chumbe.
Ilipofika asubuhi baada ya kuamka nilijiandaa ili nielekee kwenye kazi yangu ambayo ilinipeleka pale Kkoo,nilipoondoka nyumbani niliamuacha Rehema akiwa amelala na niliamuambia akiondoka afunge nyumba na funguo aziache kwa demu wa Steve.Sasa nilipofika kkoo nilikuta tayari dada Farah amekwisha kufungua duka na swali lake la kwanza ni mbona tangia juzi sikuonekana?.
Farah "Sijakuona tangia juzi,kwema lakini?"
Mimi "Tangia juzi dada wakati jana umekuja nyumbani!"
Farah "Nije kwako hata napajua?"
Mimi "Dada wewe si jana umefata funguo wa nyumbani kwa kaka Ally!?"
Farah "Weeeee!....mjini hapa,isije ukawa umetapeliwa funguo za nyumba ya watu!"
Aliponiambia vile ndipo nikazidi kuchanganyikiwa na nikaona yawezekana kuna mchezo akawa uenda ananichezea pasipo mimi kufahamu!.
Mimi "Kwani dada nyie kwenu mko mapacha?"
Farah "Kwanini?"
Mimi "Nimeuliza tu!"
Farah "Hivi kweli wewe uko sawa?,nisije kuwa nazungumza na chizi!"
Mimi "Tangu lini nimekuwa chizi Aunt Farah?"
Farah "Vitu unavyoongea sikuhizi havieleweki kabisa master,umekuaje?"
Mimi "Dada mimi mbona niko kawaida!"
Farah "Ni juzi tu umetoka kuniambia nimefungua duka wakati mimi sikuwepo,haya leo tena umekuja na mpya kwamba nimekuja kwako kuchukua funguo za Ally?"
Aliendelea "Umewahi kuniona hata sura?"
Baada ya swali lake sikujua nimjibu nini kwasababu kila nilochokuwa nikimwambia alikuwa akiniona kama mwendawazimu na mara zote imekuwa ngumu sana kumjua Farah kwasababu amekuwa akivaa Nicab asubuhi hadi atakapofunga duka.Sasa ile siku aliyokuja kuchukua funguo wa gari ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kumuona uso wake na wakati ananipigia simu aliniambia anaitwa Farah hivyo nikajua ni huyo mdogo wake na Ally Mpemba.Kiukweli hali ilikuwa mbaya sana.
Farah "Halafu pia umemfanya nini Ally?"
Mimi "Kwanini dada?"
Farah "Alinipigia simu akasema upishe karibu na duka "
Aliendelea "Ila sijamjibu"
Mimi "Mbona dada hakuna baya nililomfanya kaka Ally"
Basi baada ya yale maneno ya Aunt Farah nilifahamu kabisa hali ishakuwa mbaya sana,kibaya zaidi jamaa anahitaji niondoe biashara yangu kando ya duka lake,nilikaa kimya nikarudi kuendelea na kazi lakini kiukweli ni kama moyo ulikuwa ukinifukuta sana,nilinyanyuka kurudi dukani kwa Farah ili nimuulize swali na akinijibu nikishaelewa ningejua pa kuanzia.
Mimi "Kwani dada wewe huwa unapacha wako?"
Farah "Kwetu hatukuzaliwa mapacha!"
Mimi "Je,unamjua Maya?"
Farah "Maya?,ndiyo nani tena huyo mdogo wangu?"
Mimi "Kuna dada mmoja huwa mmefanana sana ndiyo maana nikadhani mlizaliwa mapacha"
Farah "Wewe unavituko sana,unamfananishaje mtu na mimi wakati hata sura yangu hujawahi kuiona!?"
Mimi "Sawa dada,Je Zahra unamjua?"
Farah "Zahra?"
Aliendelea "Eeh wewe umemfahamia wapi Zahra?"
Mimi "Unamfahamu?"
Farah "Ndiyo namfahamu!"
Mimi "Ni nani?"
Farah "Kwani wewe una nini?mbona naona mapicha picha tu!"
Mimi "Tafadhali Aunt Farah naomba uniambie kuna kitu utanisaidia na mimi nitakusaidia!"
Farah "Zahra alikuwa dada yangu toka ni nitoke ila kwasasa ni marehemu!"
Sasa kuna muda tunaongea tulikuwa tunasuburi wateja waondoke kisha wateja wakiondoka tunaendelea,kiukweli baada ya kumtajia Farah jina la Zahra alishituka sana na kushangaa,mimi kiukweli niliamua liwalo na liwe kwasababu ilivyoonekana ni kama Ally Mpemba alikuwa amenikataa na hata kama ningejipendekeza vipi asingenielewa.
Farah "Kaka Ally ndiyo alikwambia kuhusu Zahra?"
Mimi "Hapana dada!"
Farah "Ok wewe Zahra umejuaje na kuna kitu gani kumuhusu?"
Itaendelea.................
@lubawa njoo huku kakaUtajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 23.

Mkuu hukusoma vizuri ..... Alisema baada ya kuweka zile mboga alipotoka kwenda kulala alisikia sauti ya ajabu ya mnyama mfano wa nguruwe, na hapo kwenye nguvu hakusema alisukumwa na nguvu za ajabu ila alisema alisukumwa na kiumbe chenye nguvu za ajabu ndo baadaye alikuja kugundua kumbe ni msukule.Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA
Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu
Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama
Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli
Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum.
Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
Chunga maneno yako kijana[emoji276][emoji89]Dah kwa uzi huu ya wezekana kweli Babu tale wa pale WCB alimtoa mkewe kafara ili ale bata mjini ***** watu wana enjoy pesa za haramu
☺️☺️☺️☺️Embe ng'ong'o umenikumbusha mbali hahahah
Hii inaonesha kuwa wewe ndiye jobless unapata wapi muda wa kuandika ma-nsha mareeeeefu.sehemu ya 24:
Niwe muwazi baada ya kumtajia Farah jina Zahra alionekana kama kupatwa na hudhuni sana sijui kwa nini ?
Nikaamua sasa nibadilishe maelezo na kumuomba angalau anifunulie nikabu yake niuone uso wake kabla sijamueleza nilimfahamu vipi Zahra
Alifikiria kama kwa dakika mbili kisha akaniauliza,hivi master siku hizi una shida gani kichwani maana umekuwa ukiniuliza maswali ya kiajabu ajabu sana mpaka nashindwa kukuelewa au ulikuja kuzuga zuga huku kwenye kusajili line ili uichimbue vizuri familia yetu,sasa kwa mfano sasa hivi unataka uuone uso wangu ili iweje ?
Nikaamua kumjibu tu kwa mkato" kama unataka nikueleze japo kwa ufupi ni vipi nimemjua Zahra nifunulie hiyo nikabu yako niuone uso wake"
Nikapiga hatua taratibu kuiendea meza yangu ila nikamsikia Farah akiniita kwa sauti ya hudhuni "master master master" nikageuka fasta akanionesha ishara ya kurudi nikarudi fasta dukani
Farah huku akionesha kulengwa lengwa na machozi akaniambia tafadhali master nieleze japo kwa ufupi ni vipi ulimfahamu zahra, ndugu yangu wa damu aliyekufa kifo cha ajabu sana
Itaendelea......