Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Jana sikuingia nmeingia leoo!!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Masta kaamua liwalo na liwe,,,,, utelezi hawezi kuukosa kisa hela za mpemba zilizojaa damu na kafara [emoji851][emoji847]
 
Kweli Kabisa pesa za masharti sio kabisa!
Hatari mno,,,, mshukuru Mungu kwa rizk halali unayoipata hata Kama kidogo ,,,, sio mapesa ya masharti na makafara ,,,,,

Master nae kazingua, mpaka kamgonga Maya na kunuka kote, mpaka mambo ya kwenda kwa mzee na kupewa alfwata alafu kizembe tuu trackle la rehema linamuwehusha,,,, looks like Hana msimamo ,,,, !!!!

Besides, kule nachungulia sikuoni oni Sana [emoji847]
 
Duh yani nikasubiri nione mateso uliopata kwenye hizo pesa, kumbe ni wewe mwenywe umezingua alfu unashindwa kumuondoa Rehema aise mimi nisingewaza hata kwa mzee nisingeenda ningeuliza tu mnataka nifanyaje yani rehema angepita hivi hiyo hiyo siku hata nampitia na Audi.
Mimi mpaka hapo sijaona masharti magumu wala ya kumwaga damu, kubanwa na bangili mwisho wa mwezi, kumgegeda Maya kufungulia na kufunga mlango, kwenda sokoni kumchukulia kabechi, mtu asipande siti ya mbele kwenye gari[emoji2305]
Alafu ruksa kumenya pisi yoyote tena ningemenya za high class maana pesa ipo, kuvimba na Audi mtaa ujenzi unaendelea ina maana wenye mali wamekubali maendeleo yafanyike na pesa yao.
Ila story iendelee mkuu ni kwa mtazamo wangu tu
 
Kweli kabisa, kumuondoa mtu humjui kuna shida gani? Jamaa siyo jasiri, niliwahi kumwambia mtu wakurya wa tarime mjini ni waoga kinoma. Wale wenyewe wapo nyamongo na sirari, wakinyanyua panga halirùdi chini mpaka akucharange.

Huyu jamaa ni mkurya wa mjini, pale Rebu.
 
Haya goroko77 nimekutag tena kanireport kwa kikingeni kwenu
 
Hatari lakini salama...
 
.
 
Kule naona kumevamiwa so ngoja nipumzike kidogo ndugu mjumbe!!
 
Maisha mazuri lazima uyafurajie na wenzako mnao ruka pamoja. Fikra na mawazo yangu zinaruka na wewe Skylar mwanamke mzuri kama mdogo wa malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…