Sijaelewa vizuri hapa, hebu ipe nyama kidogoHivi mkuu unadhani shetani yuko kama unavyomdhania?,unadhani nguvu nilizotumia hapo nyuma kutafuta maisha ndizo zingetumika kukataa masharti?,Jaribu uone mkuu utakuja kusimulia hapa
hahahahaha we jamaa umetisha.sehemu ya 25:
Niliichukua ile laki tano aliyonipatia bro Ally muarabu wa Pemba na kuipachika mfukoni mwangu kisha nikatoka mdogo mdogo huku kimoyo moyo nikiomba mambo yaende fresh ili siku moja niruhusiwe tena kuichakata ile papuchi ya mrembo Maya
Kiukweli licha ya maya kuwa katika ile hali ya umsukule lakini alikuwa na papuchi tamu sana sijui kwa sababu ya kufanya ngono mara nne tu kwa mwezi au labda kwa sababu ya chakula chake ni kabichi tu au pengine labda sababu ya kushindia kule kwenye shimo chini ya kabati
Kiukweli hakuna kitu ninachokuwa nikikimiss toka niyakoroge kama papuchi ya Maya,yaani mpaka kuna wakati natamani mimi ndio niwe Ally muarabu ili niwe najichakatia ile papuchi ya Maya
Basi bwana nikatembea mdogo mdogo ila ghafla simu yangu ikaita nilipoitazama nikakuta kumbe ni mrembo wangu Rehema alikuwa akinipigia
Nikapokea huku nikiwa najua kabisa shida yake ilikuwa ni nini na kweli baada tu ya kusalimiana alianza kuniambia habari za kumtumia pesa kidogo eti yuko BTP hivyo anahitaji pesa ya matumizi
Kwa sababu pesa nilikuwa nayo nikaenda kwenye kibanda cha m-pesa na kumpatia namba yule wakala nikamwambia atume laki 4,basi bwana wakala akawa ametuma ile pesa kwa Rehema na muda huo huo nikapokea simu toka kwa Rehema akinishukuru sana kwa kumpenda na kumjali
Nilipomaliza kuzungumza na Rehema nikakuta wakala akiwa kategesha mkono nimlipe pesa yake,nikaingiza mkono mfukoni ili nimchane huyu wakala njaa pesa yake kisha niende ghetto. du nilipozitoa zile pesa mfukoni aisee nusu nichanganyikiwe na nilianza kuiona milango ya gereza ikiwa wazi kwa ajili yangu,tazama zile pesa zote zilikuwa zimegeuka kuwa karatasi nyeupe pee
Wakati nikiwa katika hiyo hali ya kuchanganyikiwa ikaingia sms toka kwa brother wangu wa kiarabu(Ally) iliyosomeka"master umeyakoroga kwa mara ya pili sasa,yaani unafikiri Maya ni fara kama walivyo wanawake wa huko ukuryani kwenu,yaani umeichukua hii laki tano yake na unataka uitume kwa Malaya wako Rehema,sasa leo huyo wakala lazima akutafune makalio maana najua mpaka hapo ulipo huna pesa yoyote mfukoni"
Itaendelea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakera sanasehemu ya 25:

Doooh,ulishawah kumueleza issue ya maya?Kuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Waoh. Thats very good. Imekaa vizuri. Uliwekeza sehemu sahihi. Sasa alijua issue yako ya kutaka kumpoteza?Kuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Kuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Kiume zaidiView attachment 2501345
UMUGHAKA Wala mi Sina negativity yoyote, nilijisahau tu ila Hio ni comment yako ulisema ulipata div 2 pcb kwenye shule ambayo Haina lab! Anyway hizo ni minor things tu na mi naienjoy story zako na Wala sipo kuku criticize!!
Peace
Inamana hawashtuki kwamba waache kaziKuna mbaba ana magari haya makubwa ma Scania ya kubeba ma container.
VItuo vya mafuta, ana hela haswaa. Mpare huyo baba, shida ni hii kila mwaka lazima kijana afe, hao vijana ni watoto wa ndugu zake. Anawatoa huko upareni kuja kufanya kazi kwenye biashara zake.
Kila mwaka mwishoni mwa mwaka wanaenda kuzika, lazima msiba uwe kwake alfajiri wanasafirisha, sasa siku ya msiba hapo, wenye magari ya kifahari ni wengi zaidi, huenda wafanya biashara wenzake. Umughaka alivyosema kafara nimemkumbuka huyo baba.
Nimekushakuja wangu
Umetisha broKuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Aloo mwenye stori hakuwezi kummqsehemu ya 23:
Basi bana baada ya kununua zile chupi niliamua niende tu nyumbani kwangu Gongo la mboto maana kipozeo changu Rehema ndio hivyo tena anakwenda kuliwa kichwa na majini ya Ally Mpemba.
Niliamua kupanda daladala maana sikuwa na ujasiri wa kwenda kule magomeni kwa Ally kuchukua ile audi ukizingatia hata chumba cha lile limsukule la kiarabu kilikuwa kiko wazi hivyo niliota itakuwa hatari sana kurudi pale bila kwanza kumaliza hili swala
Nilipokuwa njiani kwenda Gongo la Mboto nilipokea simu moja kwa moja kutoka kwa bro Ally akiniuliza mbona nimekawia sana kumpatia Rehema huo mzigo maana eti Maya hataweza kula mpaka kwanza awe ameinywa damu ya Rehema
Du! Nikabaki nimeduwaa nisijue cha kufanya,halafu kumbe wakati ninaongea na Ally nilikuwa nimeweka loudspeaker hivyo mazungumzo yote abiria wenzangu walikuwa wanayasikia live kabisa bila chenga.Hata sijui kwa nini niliweka loudspeaker au labda kwa sababu nilikuwa nishazoea kujiachia kwenye lile liAudi la kaka Ally muarabu wa Pemba
Basi baada ya kumaliza kuzungumza na Ally,gari zima walikuwa wamenitolea macho mimi huku wakionekana kuwa na wasiwasi sana na Mimi,tena walikuwa wakinongonezana nongonezana kwa sauti za taratibu sana ambazo ilikuwa vigumu kuzisikia lakini nilihisi neno makafara,Freemason na ushirikina yalikuwa yakitajwa tajwa kwenye minongono yao
Basi bwana,kulingana maelezo ya bro Ally kuwa damu ya Rehema inahitajika haraka sana ili Maya aweze kurudi katika hali yake ya kawaida niliamua nikifika nyumbani nioge fasta kisha niwahi nyumbani kwa Rehema nimkabidhi hii michupi yake ili mambo yarudi kama yalivyokuwa maana umaskini sio kitu kizuri aisee,yani siku mbili tu za kukosa usafiri wangu nimepoteza zaidi ya kilo 8 na usheee.
Nilipofika nyumbani nilienda moja kwa moja kufungua mlango wa nyumbani yangu ila nilipatwa na mshangao wa mwaka sana kwa yale niliyokuwa nikiyaona
Nilikuta zile kabechi na mimboga mingine ya majani ninayomuwekea Maya pale sebuleni kwa maya ikiwa imemwagwa kwenye meza yangu ya hapa sebuleni
Kiukweli sikujua hii mimboga imefikaje fikaje hapa ila kabla hata sijajua nifanye nini simu kutoka kwa bro Ally ikawa imeingia.Kama kawaida yake akaongea kwa lafudhi ya kipemba akisema"aisee masta hizo kabechi hapo sebuleni kwako ndio chakula chako cha siku nzima na usithubutu kula chakula kingine chochote kabla ya Rehema hajatwaliwa maana tutampoteza maya "
Sekunde kumi tu baada ya Ally kukata simu nikawa nimepokea simu kutoka namba ngeni ya Tigo,kabla hata ya mpigaji hajajitambulisha kwangu akawa anaongea mfululizo kuwa Rehema amekutwa akiwa amejinyonga chumbani kwake na kaacha barua akisema chanzo no mimi UMUGHAKA hivyo nahitajika kituo cha polisi haraka
Punde tu baada ya simu hii kukatika ikaingia simu nyingine ambayo mpogaji kabla hajasema chochote alijitambulisha kwamba anaitwa maya ama Farah ananiomba nifike nyumbani kwake ndani ya nusu SAA
Nilijikita nimeganda kama sanamu nisijue kipi cha kufanya ila kabla hata sijaamua chochote simu kutoka kwa Ally ikawa tena imeingia
Itaendelea.........
Majobless kujeni sasa akina Allency na wenzako
Akhsaaannteeeeeeeeeehhhhh!!Kuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Na mimi niitwe baba Antonnia AntonniaAkhsaaannteeeeeeeeeehhhhh!!
Umetisha sana Baba Rey![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Ulakoze chambu!Ulakoze
Ulakoze chane chambu
wewe ni wa kigoma?Ulakoze chane chambu!
WaowKuna MCHUMBA na MALAYA.
Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.
Rehema now ndiye mke wangu mkuu.