Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

O level Kuna combination? Labda useme hajaiwakilisha vizuri maana inaleta ukakasi!

Anyway tuendelee na story mkuu hizo ni minor things
Mkuu hivi kweli ulinielewa nilichoandika?.

Nilisema kwenda Advance level nilipata Divesheni 2 nikachaguliwa Tanga Tech kwenda kusomea PCB,sasa hapo hujaelewa kitu gani!.
 

Hizi ni simulizi mkuu hakuna cha ukweli. Soma kuburudika
 
Kwangu mimi hilo sharti la mtu asikae siti ya mbele ni gumu sana kwangu,kwanza hyo gari nisingeichukua kabisa
 
We jamaa fungua Uzi wako na upost upuuzi wako.
 
Alifeli form six hiyo 1ya 8 ni 0 level . Au mimi nsio sielewi hapa?
 
Ifike mahali ndugu zake washtuke wasipeleke vijana wao kwake
 
Kumbuka alifeli advance ila o level alipasua
 
Alifeli form six sio form four
 
Mimi nakumbuka ilikua ni div 2 O level, then akaenda kufeli advanced
 
Tafuta ukipata nitag wote tunajua alizungusha😅😅😅
 
Watu wanapitia maisha asee, ingefaa uwe Mtumishi wa Mungu
 
Alipata div 2 mtihani wa form four na comb iliyobalance ni pcb ambayo ndiyo alienda kuisomea advance na huko advance ndiko alikofeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…