Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Haya mambo ya bangiri myasikiage tu.
Kuna mtaalam niliwa kuvaa pete kuubwa la mambo hayo kuna sharti nikavunja.
Ilikua ether bwii au nilikamata pisi nikatandika na siku hiyo ilikua alhamis unatakiwa upige rakaa tu na kuzima hela zinafuata.
Nikaleta zereu.
Walai naapa usiku sikulala,nilikesha kibandani kwa sonara mpk anafungua saa nne machozi ya damu yanamwagika.
Ni kwamba kidole kimevimba damu chekundu pete mpk haionekani.
Yule sonara anajua nini kimetokea aliswali akaja kachomeka waya mwembamba kidoleni fikiria hayo maumivu ndo kuivuta isogee nyuma zaidi kisha kukata na msumeno wa umeme.
Aisee maumivu yale siwezi kuelezea.
Na Ustaadh aliyenipa kila nikimwambia ye analeta mzaha tu huku akikumbusha masharti.
Ile pete ilikuja kupotea yenyewe tu kimazingara kwasababu badae nilikua naweka mfukoni tu sivai kidoleni.
Mungu saidia hakukua na madhara zaidi🙏
 
Duuh usirudie tena hizo mambo... sio poa mzee..

Vipi hii ni true story??
 
Duuh usirudie tena hizo mambo... sio poa mzee..

Vipi hii ni true story??
Kabisaaaa nilipitia mwenyewe ndo mana mughaka kuna vitu anaandika vipo kabisa na watu wanafanya.
Ila sisi wa kuingia huko na tamaa tamaa na pesa za haraka utacheua.
Huyo ustaadhi ni tajiri tu hapo town ,wateja wake ni hao kina ally mpemba na the like na ni watu wa safari safari sana ila wana hela chafu.
Ustaadh senti yangu alikua hachukui zaidi ya kutoa sadaka lipikwe pilau na soda pale kwake watoto madrasa waje wale baada ya kupiga sala ndefu.
 
Hapa utakuwa umechanganya , ule ufaulu wa kuingia f4 na f6...
Kuna baadhi ya shule zilikuwa na specifications za masomo kuanzia darasa la tatu... Na unakuta mtu anajiita kabisa yeye ni Pcb au pcm or whatever... Ilihali bado yupo O'level..[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hapa utakuwa umechanganya , ule ufaulu wa kuingia f4 na f6...
Kuna baadhi ya shule zilikuwa na specifications za masomo kuanzia darasa la tatu... Na unakuta mtu anajiita kabisa yeye ni Pcb au pcm or whatever... Ilihali bado yupo O'level..[emoji848]
Mkuu this is news to me! Nimesoma pcm advance ila sijawahi kujua kama Kuna specification za combination kuanzia o level, nachojua Kuna arts na science tu kipindi hicho si tunasoma!!!

I stand to be corrected hapa tupo kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…