Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

sehemu ya 25:
Niliichukua ile laki tano aliyonipatia bro Ally muarabu wa Pemba na kuipachika mfukoni mwangu kisha nikatoka mdogo mdogo huku kimoyo moyo nikiomba mambo yaende fresh ili siku moja niruhusiwe tena kuichakata ile papuchi ya mrembo Maya

Kiukweli licha ya maya kuwa katika ile hali ya umsukule lakini alikuwa na papuchi tamu sana sijui kwa sababu ya kufanya ngono mara nne tu kwa mwezi au labda kwa sababu ya chakula chake ni kabichi tu au pengine labda sababu ya kushindia kule kwenye shimo chini ya kabati

Kiukweli hakuna kitu ninachokuwa nikikimiss toka niyakoroge kama papuchi ya Maya,yaani mpaka kuna wakati natamani mimi ndio niwe Ally muarabu ili niwe najichakatia ile papuchi ya Maya

Basi bwana nikatembea mdogo mdogo ila ghafla simu yangu ikaita nilipoitazama nikakuta kumbe ni mrembo wangu Rehema alikuwa akinipigia

Nikapokea huku nikiwa najua kabisa shida yake ilikuwa ni nini na kweli baada tu ya kusalimiana alianza kuniambia habari za kumtumia pesa kidogo eti yuko BTP hivyo anahitaji pesa ya matumizi

Kwa sababu pesa nilikuwa nayo nikaenda kwenye kibanda cha m-pesa na kumpatia namba yule wakala nikamwambia atume laki 4,basi bwana wakala akawa ametuma ile pesa kwa Rehema na muda huo huo nikapokea simu toka kwa Rehema akinishukuru sana kwa kumpenda na kumjali

Nilipomaliza kuzungumza na Rehema nikakuta wakala akiwa kategesha mkono nimlipe pesa yake,nikaingiza mkono mfukoni ili nimchane huyu wakala njaa pesa yake kisha niende ghetto. du nilipozitoa zile pesa mfukoni aisee nusu nichanganyikiwe na nilianza kuiona milango ya gereza ikiwa wazi kwa ajili yangu,tazama zile pesa zote zilikuwa zimegeuka kuwa karatasi nyeupe pee

Wakati nikiwa katika hiyo hali ya kuchanganyikiwa ikaingia sms toka kwa brother wangu wa kiarabu(Ally) iliyosomeka"master umeyakoroga kwa mara ya pili sasa,yaani unafikiri Maya ni fara kama walivyo wanawake wa huko ukuryani kwenu,yaani umeichukua hii laki tano yake na unataka uitume kwa Malaya wako Rehema,sasa leo huyo wakala lazima akutafune makalio maana najua mpaka hapo ulipo huna pesa yoyote mfukoni"

Itaende

Kijna huyu Ni mpuuzi apuuzwe
 
Ila kwenye story ile ya kijijini kwa kina Monica Kuna sehemu ya comment alikua anabishana na jamaa kuhusu ufaulu wa shule za kata umughaka akasema alipata div 1 ya point 8 pcb!!! Nikaja kukuta mahali tena amesema alifeli kisa mtoto wa kitanga!! Mpaka Leo simuelewi
Nyie ndio mwalimu anafundisha SoMo darasani afu unajifanya mwepesi wa kuelewa mtihani ukija umeshika mkia
 
Kabisaaaa nilipitia mwenyewe ndo mana mughaka kuna vitu anaandika vipo kabisa na watu wanafanya.
Ila sisi wa kuingia huko na tamaa tamaa na pesa za haraka utacheua.
Huyo ustaadhi ni tajiri tu hapo town ,wateja wake ni hao kina ally mpemba na the like na ni watu wa safari safari sana ila wana hela chafu.
Ustaadh senti yangu alikua hachukui zaidi ya kutoa sadaka lipikwe pilau na soda pale kwake watoto madrasa waje wale baada ya kupiga sala ndefu.
Mmmh aisee ni funzo kubwa sana .. kwa sisi wengine.. ama kweli tusione vyaelea.. vimeundwa.
 
Ally hakujua anachofikiria UMUGHAKA bali master mwenyewe kwa mara ya kwanza alikosea masharti ya kumkubalia Rey akae sat ya mbele. Kwakuwa Ally tayari alikuwa na bond na Maya lazima angejua tu lakini siyo kujua master anafikiria nini.

Pia kwenye issue ya mganga, Ally alimwambia master asihangaike kwakuwa alitaka kuvua bangili aliyovishwa kishirikina kule pemba. Bngili hiyo pia inabond na Maya. Mkuu hata mganga awe wa nmna gani hawezi kujua unachofikiria, kwa lugha rahisi hawezi kujua anachowaza
Anajua, ukishajisalimisha kwa kitu chochote mnaungana. Ndio maana alikuwa anajua
 
U remind me about something I was about to forget......related true story & naked truth!......

Maeneo flani hapo banana ukonga,

Kuna mtaa unaitwa mtaa wa hali hewa....ni jirani kabisa na ofisi za TMA-mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa.. maeneo ya kipunguni-hali ya hewa,

Kuna nyumba Moja ni maruufu kwa uuzaji wa Maji miaka na miaka! maeneo hayo tangu zamani....Al maarufu panafahamika kama kwa Bacho!

Kuna hekalu kubwa la vigae vyekundu juu na kabustani kazuri kulizunguka hilo hekalu,

Jamaa anajihusisha na mambo ya clearing bandarini.....hilo jumba tangu tukiwa wadogo miaka ya 89,90 hadi sasa nnapoandika....

Haijawahi kaliwa na mtu yeyote.....ni mahindi tu! Huwa yanaanikwa hapo....

Jamaa yeye miaka yote anakaa kwenye nyumba ndogo ya chumba sebule! Hapo hapo na ana gari kali tu huwa anabalisha. Hii dunia ina mengi aisee!
Nikweli kbs hio Nyumba naijua hatamimi pale ni mtaani kwetu
 
Kama miaka na miaka bas huyo jamaa yeye shart lake ni kuanika mahind tu.
 
Back
Top Bottom