Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huo mji hauonekani kwa macho ya kawaida kamanda wangu
 
Anatafuta Wokovu yupo Tayari kwa lolote hajakurupuka budaa
 
Yan naanza kabisa kujiona kuwa Luna kadalili flan hv kanaanza kuonekana,yan najiona kabisa kuwa naanza kukupenda bure yan,😂😂
Asante sana kwa kuniita Antonnia
Furahia story mkuu kitambo sana sikuoni oni humuu!!!
Naona kama imeanza upyaaa.. masta na kazi nyingine ya kutoa kafara ni hatari nanusu hiii!!
 
Asee, ni kijijini sana. Hiyo siku niliogopa lakini kwakuwa tulikuwa team nilijipa moyo. Baada ya kukaa kwa muda flani nikaanza kuuliza wenyeji kuhusu tuliyoyasikia, maana me nilikuwa najua gamboshi ipo Nigeria
Ni kweli. Hapo Gamboshi kuna ka-Center uchwala hivi.....Kuna Mkwaju mkubwa! Mbele yake kuna shule ya msingi "Gambosi" imeandikwa hivyo! Kwenye bango la shule na haijaandikwa " Gamboshi' kama wengi tulivoizoea..kuiita.....

Nimefika ...usiniulize nilifuata nini!

Ukiwauliza wakazi wa hapo...hizo story kwao nao wanakwambia na wao wanasikia tu hivyo hivyo! Kama sisi....!

Kimsingi ni Dark world!
For Dark people!

Fuata kilichokupeleka! Hii dunia haiko kama mnavyoiona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…