Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu mimi nilishafika gamboshi, ni kijiji kipo simiyu kweli, lakini ukiuliza wenyeji kuhusu hayo mambo ya kishirikina wanasema yalikuwepo zamani sana. Nilifika mwaka 2017 nikiwa nafanya kazi ya ukusamyajibwa data.

mimi huwa najiuliza sana, huu uchawi wa gamboshi unaozungumzwa ni upi, maana hata ukiuliza wazee watakwambia hata wao wanasikia tu kuwa zamani inasemekana palikuwa na wachawi hapo kijijini
Huo mji hauonekani kwa macho ya kawaida kamanda wangu
 
Hivi mkuu UMUGHAKA Haupgopi kutoa hizo codes maana hapo umetaja mpaka location ya mgahawa na wewe no mtu usiyeficha identity yako hata ulipoenda Mbeya ulionana na wana jf wa huko, Sasa mkuu ikitokea mwenye ndugu mfanyakazi aliyekufa hapo mgahawani hauoni atakutafuta kulipa kisasi?
Anatafuta Wokovu yupo Tayari kwa lolote hajakurupuka budaa
 
Yan naanza kabisa kujiona kuwa Luna kadalili flan hv kanaanza kuonekana,yan najiona kabisa kuwa naanza kukupenda bure yan,😂😂
Asante sana kwa kuniita Antonnia
Furahia story mkuu kitambo sana sikuoni oni humuu!!!
Naona kama imeanza upyaaa.. masta na kazi nyingine ya kutoa kafara ni hatari nanusu hiii!!
 
Asee, ni kijijini sana. Hiyo siku niliogopa lakini kwakuwa tulikuwa team nilijipa moyo. Baada ya kukaa kwa muda flani nikaanza kuuliza wenyeji kuhusu tuliyoyasikia, maana me nilikuwa najua gamboshi ipo Nigeria
Ni kweli. Hapo Gamboshi kuna ka-Center uchwala hivi.....Kuna Mkwaju mkubwa! Mbele yake kuna shule ya msingi "Gambosi" imeandikwa hivyo! Kwenye bango la shule na haijaandikwa " Gamboshi' kama wengi tulivoizoea..kuiita.....

Nimefika ...usiniulize nilifuata nini!

Ukiwauliza wakazi wa hapo...hizo story kwao nao wanakwambia na wao wanasikia tu hivyo hivyo! Kama sisi....!

Kimsingi ni Dark world!
For Dark people!

Fuata kilichokupeleka! Hii dunia haiko kama mnavyoiona!
 
Back
Top Bottom