Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Furahia story mkuu kitambo sana sikuoni oni humuu!!!
Naona kama imeanza upyaaa.. masta na kazi nyingine ya kutoa kafara ni hatari nanusu hiii!!
Yan huwez amini bestie,nipo humu deile😂,sema kuna story flan hv za nyuma sana za SteveMollel zilinipitaga saiv ndo nashinda Nazo,humu kwa. UMUGHAKA huwa nachungulia kisha natupia macho pia kidogo kwa singanojr na kurud kule kwa SteveMollel ,ila nakushukuru kwa kunikumbuka🙏
 
Mkuu migahawa huo mtaa ipo mingi,mimi sijataja jina la mgahawa!.
Mkuu huo mtaa kuelekea sokoni pana mgahawa mmoja tu. Nyama choma pale ni zile za kupakwa rangi na ni laini sana.
Wali biriani nk vinapatikana pale. Kumbukumbu zangu nimekula pale kama mara 4.
Aisee nawahurumia sana wale wafanyakazi. Sijui nijitahidi niende kula tena pale ili niweze kuwashawisi wafanyakazi wa pale wausome uzi huu wa Umughaka huenda wakanusurika.
 
Umeongea kweli. Mimi naona Gamboshi is only fiction and over rated.
Hata Wazee wanasema ni zamani au nao wanasikia tu stori.
 
Hapo kweli kabisa umefika
Wenyeji wanaita Gambosi na sio kama Waswahili wanavyoita.

Sasa mkuu ulipotea njia ukiwa unakwenda Nkololo au nawe ni Mwanga.

Jiulize kwa nini Wana Gambosi wanapenda ushanga mweupe kama hakuna maajabu?

Kuna Mbina huku Mkuu
Ambapo wasukuma wanashindanisha Uchawi kama enzi za Ng'wanamalundi.

Ni siku kubwa huku kwa Wanyantuzu
 
Ndio maana Huwa wanasema "Show me your friends and I will tell who you are" watu wako wa karibu wana influence kubwa kwenye mwenwndo wako so tuchague watu wetu wa karibu kwa uangalifu. Story hii inatufundisha vitu vingi sana
Nadhani pia wenye the same beliefs , opinions, biasennes, subjectivity,illusions, delusion, assumptions, predictions wanakuwa very close. Mana mtu Kama hamuendani hizo Mambo inakuwa ngumu. Mfano wewe unajsiifia kula me za watu mie nakupinga utaniona Kama mnoonkopp fulani Ila Kama ukiwa unaleta hizo story namie nakupa tunakuwa close mno
 
Makubwa sasa haya
 
Kila ifikapo

Tarehe 30 May

Inaitwa Lya salasini

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Aliandikia hadi vitabu ile story
 
Ni kijijini kwetu, imebaki story tu ila maisha yako safi kbs.
 
Ushanga ni kawaida kwa jamii ya wasukuma na wanyantuzu, tunaita "bhusalo" na khs ngoma ni mambo ya tamaduni tu. Baada ya mavuno ujue kunakuwa hakuna shughuli nyingi hivyo ndio kunakuwa na ligi za "mbina". Manju na manju wanashindana na siku ya fainali ndio mamanju wanatokea majukwaani kwao kuonesha ubabe wa uchawi wao.
 
Dah mkononi eeeh kishanga cheupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…