Kwa uelewa Wangu(Low thinking capacity)
Ally mpemba alikua anaitumia nyota ya
UMUGHAKA kukamilisha mambo yake ya kujipatia utajiri, yaani kulikua na Connection kubwa sana kati ya pete aliyoivaa Master na ally mpemba mwenyewe.
Na ndio maana Master alikua akizingua tu Ally mpemba na yeye uku mambo hayaendi poa kiasi cha kumchukia kabisa Master.
Refer pia kuna Sehemu Ally alimlalamikia Master kwamba anataka kumfanya Maskini. Pale master alipovunja Mashart ya kutopakia mtu asiye wa ukoo wa Ally siti ya mbele
Master alikua amelibeba jini la Ally mpemba na ndo lilikua linampa Blindness ya kumpa pesa kidogo kusudi asishtukie mchongo mzima. Alikua akutumika kama chambo na pia kama Ndoano.
Utajiri una siri nyingi sana Wajameni na madubuwasha ya Ajabu. Usipo ya Face huwezi kuelewa kamwe.