Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hivyo ulivyofikiri ndivyo ilivyo big up chief.
 
Una high thinking capacity Mkuu Sema watu wengi humu wanaisoma hii Simulizi kama gazeti tu bila kufikiria kwa kina.
Hakika mkuu, pia kuna mengi sana ya kujifunza kwenye hii simulizi hasa mambo ya kiroho zaidi.

Atakama itakua ni ya kutunga(may be) lakini kuna Awareness atakua ametuachia. Tuishi kwa taadhari sana dunia tambara bovu hili
 
Jamaa ni msimuliaji nguri sana aisee. Kongele kwake
Ule moto sio mchezo utofauti wa hii ya master na ile ni kuwa Magere alikuwa na matukio mengi sana ya hatari, plus kuwachapa bakora. Kuna ile anamtokea mbaya wake nyumbani kwake.

Unakumbuka namna alivyomfanya mchepuko wa mke wake ashindwe kupiga show? Jamaa alikuwa na nguvu za kutisha acha kabisa
 
Na kuongelea uchawi usukamani ni kama uende Rwanda umuongelee vibaya kagame au uwaulize wananchi kama kagame ni dikteta.
Au uwaambie chawa wa mama sa100 haupigi mwingi
Yeah! Ipo hivyo mkuu, hawataki watu wajue na wakikumark kuwa unafahamu kuwa wao ni wachawi, hawakuachi salama
 
Umetumia neno zuri "Predetermined" mchongo wote ushaandaliwa kitambo, refer mchakato wa kupata wafanyakazi wa mgahawa. Master mwenyewe alishafanyiwa vetting akaonekana yuko vizuri
 
Hii faraq mkuu[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…