Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Uyo mdau @lwandamagele nakumbuka anao uzi kabisa anaelezea story ya maisha yake kule entertainment lakini haikuisha ilifika ep ya 50.

Uko mpaka anaambiwa amtoe mkewe kafara haikifikia. Sasa sijui mwendelezo naupata wapi huu mkuu

Tafadhari.
Alihamia telegram tukalipa alfu moja moja kujoin na pia kuna kitabu aliandika....hizi stori zina utam wake hata kama ni fiction ndo hvo tunajifunza tu
 
berylyn
 
Ha ha ha ha huwaga wanaanzia mbali hivo hivo ili uzoee.
 
Dah aisee Ally mpemba mwanga nini Asa anajuaje kama Master keshaharibu?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
"Baada ya muda kupita jamaa akawa amenitumia sms iliyosomeka "Wewe huna akili na utakufa kifo kibaya sana!". "

Mambo ya Ally Mpemba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Angalau hii episode nimeona Master ameenda japo kwa Sheik,tumaini limekuja kwamba Mungu alimuokoa.


Huko nyuma hajawahi taja kwamba kaenda japo msikitini au kanisani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"HAYA MAISHA YASIJE KUKUCHANGANYA UKAABUDU WENGINE, UKAMUACHA MOLA"

"MAXMILIAN BUSHOKE"
Shetani mbaya sana.

Huu mchezo alimchezea hadi Yesu Kristo kwa kumwambia amwabudu ili ampe milki yote ya Dunia.

Yesu akategua mtego kwa Neno.,kwamba imeandikwa Umsudujie Mungu pekee.


......
Hili liwe somo kwetu wanadamu,
Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yetu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaaa alikua akiitaka papuchi fulani ni lazima ataipata tu iwe ni kwa kupenda ama kutokupenda. Kwa maelezo yake alikua akitoka na pisi kali kali tu daah uchawi huu sometimes.
 
Jamaa anazingua sana. Watu wengi sana wanataka utajiri lakini HAWAPO TAYARI KWA UTAJIRI HUO.
lakini tujiulize !!! Hao wanaompatia Masta utajiri wanataka kumuona akiufurahia huo utajir??
vipi kama huwa wanamchezea akili ili aharibu.
KUMBUKA MASTA KILA ANAPOKIUKA MASHARTI INAKUWA NI USHINDI KWAO MAANA WANAMKAMUA DAMU FOR FREE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…