Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Umeongea kwa uchungu sana.
Ila jamaa kazingua kinoma sijaona kama kina Ally mpemba na mzee wamemzubaisha au Maya ila ni yeye pekee na nyege zake[emoji1787][emoji1787]
Atupe mwendelezo tu ila stimu zimekata kabisa kufatilia
 
Umeongea kwa uchungu sana.
Ila jamaa kazingua kinoma sijaona kama kina Ally mpemba na mzee wamemzubaisha au Maya ila ni yeye pekee na nyege zake[emoji1787][emoji1787]
Atupe mwendelezo tu ila stimu zimekata kabisa kufatilia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Rehema hakua mtu bali ni jini lililovikwa nafsi ya mtu kushinikiza matakwa ya Ally ili kumvuruga jamaa na kufanya kazi itakayomnufaisha Ally
Kwamba jini baadae anakuja kuokoka?
mASTA alishasema kuwa rey ndiye mke wake mpaka sasa.
Ila naungana nawewe kusema kuwa ALLY MPEMBA ndiye anafanya moyo wa farao kukiuka masharti
 
Tunafundishwa tusitamani mali ya mtu mwingine, usije ukajikuta ya UMUGHAKA[emoji3]
 
Ulitaka kuweka kishoka kama unajua gharama yake ha ha ha ha.
 
Na hapo ndugu wamepigwa upofu wa fahamu, huwa wanakumbuka tu anapokufa mtu wakishazika wanasahau wanampa kijana mwingine,/MUNGU atusaidie kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…