Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hii inanikumbusha tupatapo tu mshahara tutoe (zaka) fungu la kumi, ila naona hamkumpa hata muda wakutafakari na mshahara wake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo Mgahawa wa Ali Mpemba pale Mkunguni nimeshakunywa sana Juice na nimeshakula sana Msosi. Kumbe Master ndio ulikuwa Incharge pale?
Ndiyo mkuu juice wanakamulia miguu na meno.
 
Kweli nimeamini, tembea kwingi uone mengi. Usione magari ya kushine barabarani kumbe ni mijoka mikubwa, sasa ichubue uone gharama yake ya malipo. Ukikosa kazi pahali, mshukuru tu muumba, usianze kulalama, huwenda amekuepusha na jambo kubwa mbeleni. Tunaishi kwa nguvu za Mungu, wenyewe hatujui wala hatuwezi kitu bila yeye.
 
......[emoji3578]
 
Huyu jamaa story yake ilikuwa nzuri alihangaika sana kuupata utajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…