Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Noma sana,ntarud kuisoma
 
Mkuu sikubaki na pesa yeyote ya Ally Mpemba
Mkuu nikushauri tu siku nyingine ukitaka kuleta story nyingine ni afadhali uandike pembeni story yote hata ikichukua miezi sita uimalize ni sawa ila ukiileta hapa uwe unashusha episode kidogo kidogo.. hii inasaidia sababu aina ya usimuliaji wako unavutia kuendelea kuifatilia, sasa inapotokea wewe unachelewesha sababu ya shughuli zako binafsi za kila siku wakati watu washaanza kupata addiction ya story hapo ndo shida inaanza kwa watu..
Yan haina tofauti na teja anapocheleweshewa dozi😅 yuko radh hata akabe apore japokua hela sio yake ila apate dozi.. Na ndo kinachoonekana kwa watu wengi wanaotukana na maneno ya kijinga kwenye uzi..
 
Tunashukuru Kwa simulizi zako Mzee wa bakacha

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Views 1+ million, hongera sana Umughaka, nakuombea ufanikiwe katika maisha yako ukiwa ndani ya misingi ya Muumba (MUNGU)! Muumba azidi kukutia nguvu! Uwe unamuombea na mkeo siku zote! Maana ni wanawake wachache wanaojua fadhila! Wengi ni wahuni na matapeli!
 
UMUGHAKA
Pale bunju uponkijiwe kipi. Pana sehemu Ina Bajaji nyingiii... bodaboda wachache wachache hivi. Wewe Upo mtaa upi.

Siku Moja kwenye episode yako ulitaka kumwaga Mchele Kwa Farah, ulivyomraja zubeda ambaye aliishafariki. Je haikusikika popote Kwa maana ndg wengine wa Ally mpemba
na je Farah hakukudadisi zaidi??
 
Kwakweli jamani, hapana chezea addiction [emoji28]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…