Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,aibariki kazi ya mikono yako na akaibariki familia yako ameen.
 
....[emoji3578][emoji419]
 
Aise maisha yakutafuta utajiri kwa njia ya mkato mmm hapana!
 
Hongera sana kwa ushindi Mungu alikuwa na makusudi na wewe ndiyo maana alimleta Rehema awe ufunguo wako wa maisha mapya anayoyata Mungu.
 
Yaan hili la wafanyakaz kufa kwa baada ya miezi 6 ni muda mfupi sana,kama unaakili timamu kama unafanya kazi hapo lazima ushituke
Wanapumbazwa akili mbona makampun mengi wafanyakazi wanakufa lakini watu wanasimuliana tu basi wanaendelea na kazi.
 
Ni kijiji gani namanyere mkuu,Samahani sina lengo baya

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,aibariki kazi ya mikono yako na akaibariki familia yako ameen.
 
Hongera Mkuu,hakika umepambana.

Ikikupendeza jiweke mikononi mwa Mungu,kwa Imani Yako(Christian/Muslim)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…