Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kariakoo kuna vitu vya kushangaza, kuna Mama analetaga chakula kwenye Carry watu wanapanga mpaka foleni kununua ule msosi pale mtaa muhonda pembeni kidogo ya DDC
Yule mama chakula chake kitamu jamani [emoji119],
Usije sema naye anafanya manuva[emoji3064]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole bro.Naona mzee unabahati sana maana ulikuwa unatembea kwny edge kabsa ya maisha yako halafu ukarudi kati.Mungu ana jambo nawewe tenga muda mtafute.
 
Wanapumbazwa akili mbona makampun mengi wafanyakazi wanakufa lakini watu wanasimuliana tu basi wanaendelea na kazi.
Hyo hoja ya kupumbazwa akili naweza kukubali

Kampuni unakuta inawafanyakaz wengi sana kwahyo inaweza kuchukuliwa kawaida ila kamgahawa ka wafanyakaz wasiozid 10 afu baada ya miez 6 anakufa mtu inashitua
 
Wale ambao hawakusoma hii
Ina heka heka kama zote na msimuliaji yupo vizuri kama Master


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…