Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Wewe ni muongo mkubwa sana na hujui kutunza kumbukumbu kwa kile ulichoongopa.

Kwenye ile stori yako nyingine ulituambia umemaliza form 6 mwaka 2019 ndipo ukaingia kwenye ujambazi ambao uliufanya miaka kadhaa kabla hujaachana nao na kuja dar kuanza maisha mapya

Na hapa kwenye hayo maisha mapya kuna miaka kadhaa imepita kabla hujakutana na huyo Rehema jumlisha miaka uliyomesha ,halafu unakuja kutuambia amekudhalia binti anayetimiza miaka mitano.

Chai yako imedoda.
 
Hawezi kuweka kila kitu sawa kwa kuwa anaficha baadh ya mambo
 
Hongera Mura kwa simulizi iliyoenda shule na iliyosheheni mafunzo tele hasa sisi vijana wa kitanzania wapambanaji.

Swali kwako UMUGHAKA , Naona wewe na mwandani wako mnaishi sehemu 2 tofauti, Je Rehema ulifanikiwa kufunga nae ndoa Kanisani/Msikitini/DC?
 
Afadhali imeisha maan kuna watu wangedata.
Asante sana brother Umughaka kwa stori nzuri na kupambana na kuepuka na ngono.
Mungu akubariki na akakurejeshee baraka kwa muda ulotumia humu ndani kutuburudisha, kutuelimisha na kutufunza.
 
Asante sana UMUGHAKA
Bado naweza kukuambia jambo, unapaswa kuondoa hayo mapepo, huyo mganga wa Sumbawanga naye amekupa pepo. Mwamini Yesu uondokane na hivyo vifungo.
 
Kama ulienda shule basi una wazazi wapumbavu kuliko wote duniani,huwezi kuzaa kondoo halafu ukaipeleka shule,hii Ada ambayo wazazi wako walitumia kukupeleka Shule ni bora wangenunua hata Kuku wakaanza ufugaji!.

Hebu Quote au Screen short mahali ambapo nimewahi kusema nimemaliza form six mwaka 2019.

Naomba watu wote nendeni kwenye uzi wangu wa Uzi huu unapatikana kwenye jukwaa la HOJA MCHANGANYIKO halafu msicreen short kipande au sehemu ambayo nilisema nimemaliza form 6 mwaka 2019.


Wewe ni mwanaume kweli?,mbona kama nina mashaka na jinsia yako[emoji848]
 
Hili povu sio la nchi hii. Au kwa kuwa msela kwa mbaali anavinasaba vya rangi ya upinde ?
 
LwandaMagere on Air 👍. Huyu mwamba nae ni Balaa tabu iko pale pale yan
 
Mkuu punguza makasiriko sasa kama jamaa ni Muongo ama mkweli wewe unaumia wapi??? Mhimu kujifunza mkuu alafu sio kila detail lazima haziweke ziwe za kweli kuna sehemu lazima afishe miaka ili kuzuia watu wasiunganishe Dots.

Mkuu we ni Hater wa kikwelii. Punguza hizo mambo bwana hazina faida aisee.
 
Ata kama ni wewe lazima unge withhold baadhi ya info kwa ajili ya Hata kama ni wewe kwanza usingeweza kukumbuka kila nukta ya matukio kwa usahihi hivyo hata mimi namshangaa huyu jamaa kwa kuwa na memory ya aina hiyo but what I believe ni kwamba kuna mambo mengine huenda aliyajazia jazia tu ili simulizi iende sawa.

Kingine hawezi ku reveal kila kitu mkuu vingine vinabaki kuwa siri ya kambi.

Hapa kwenyewe ameshaanza kupata Usumbufu uliotokana na kuweka wazi baadhi ya mambo kama mfano mgahawa wa kkoo, Mganga wa swax na mengineyo watu wanataka kuchimba wajue zaidi ya hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…