Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu UMUGHAKA tunashukuru kwa kutuletea story hadi mwisho bila kujali usumbufu wetu humu JF.
Kiasi flani naona kama umeamua kuimaliza haraka kwa kuruka baadhi ya matukio ili uepukane na kadhia za member wa jf. Hata hivyo tunashukuru sana mkuu.

Mimi binafsi nasubiri story ya lishangazi la Tanga, aka Tamimu
 
Mtu mwenyewe muendesha bodaboda na sifa yenu kuu mnanuka pia hamjielewi.
 
Mkuu nimemwambia aweke screen short hapa ni mahali gani nimewahi kusema form 6 nimemaliza mwaka 2019.

Akiweka naombeni mnitag
 
Uwezo wake wake wa kuongopa umeishia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekwambia screen short mahali ambapo niliandika nikasema nilimaliza form 6 mwaka 2019,Acha blah blah za kijinga.

Hivi huwa mnawezaje kuweka mabando yenu kutwa kujazana kwenye nyuzi za wanaume tena mwanaume mwenyewe wa kikurya na kuja kujichekesha chekesha?,How comes?.

Kwa bahati mbaya kutembea na mwanaume mwenzio ni Dhambi na laana vinginevyo ungeenda kuhadithia mashoga zako!
 
Yule mama chakula chake kitamu jamani [emoji119],
Usije sema naye anafanya manuva[emoji3064]



Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman haya mambo yapo Kuna kipindi nafanya kazi Mahali kulikua na mama ana kihoteli chake medium class tu Wala hakina hadhi, aisee lunch time ye anaanza kuuza chakula sa 9 tu and not otherwise! Utaambiwa chakula bado hata kama kimeiva!

Jamani hata uende na pesa vipi kama haijafika sa 9 hupewi chakula, aisee watu walikua wanajaa balaa, Kuna kipindi wafanyakazi wake sijui walienda wapi aisee unakuta mibaba inagombania sahani inaosha yenyewe inapanga foleni kuhudumiwa na pesa ni cash

Nilikua nashangaa sana kuona mteja anaosha sahani iliyotumika ili apewe huduma, sijawahi kula hapo nilikua nakula jirani tulikua tunacheka sana Kuona watu na heshima zao wanagombania chakula kama wanafunzi wa o level


Nyingine nikiwa chuo kuna kimama kina hotel karibu na mabibo hostels, aisee ni marufuku kununua kitafuno chochote bila chai, ile tabia ya wanafunzi kununua bites afu unaenda kuchemsha chai hostels hasa hasa vidada ilikua big NO kwake,yaani hata ukinunua vitafunwa vya elf 5 usipotaka chai hakuuzi Bora uviache

Cha ajabu tulikua tunaenda nunua vitafunwa na chai, chai tunaitelekeza tunaondoka na bites!! Hapo hapo nilikua nakula mchana Incase nakua sipo main campus, nilikua napenda kula samaki aina ya kibua, alikua anawakata katikati, watu wengi wakawa hawapendi kula kichwa wanakula mkia, Maza alikuwaga mtata balaa, sisi ambao anatujua akaanzisha utaratibu, Leo ukila mkia next time ukienda hapo ukila samaki ni kichwa hutaki unaacha😄! Aisee siwezi msahau yule mama ila tulikua tunaenda tu, hii dunia
 

Madhara ya kulala na misukule hayo kwa kuendekeza njaa 🤣🤣🤣🤣
 
Nilidharau kwakusema mchumba hasomeshwi ila hapo hongera asee
 
🤣🤣
 
Hance Mtanashati huyu kaka amekukosea nini? Ameleta story yake kwa mapenzi yake mwenyewe bila kulazimishwa. Km sio ya kweli si unaipotezea tu. Why umtukane? Au mna mengine ndugu?
Pls hufananii na hoja za matusi.
Watu Wana stress tu za maisha, kifupi mi hata mtu akiniudhi vipi siwezi kumtukana mtu mtandaoni ambaye simfahamu

Hizi platform kama jf zipo kuburudisha na hasa hasa kuongeza maarifa kama zikitumika kwa usahihi

Ila wanasema mtandao ni kichaka kipana sana, unachuja kilichokuleta mengine unaachana nayo
 
Kweli si kawaida kumtukana usiyemjua
 
Njoo leo kawe uone wanadamu wanavyo gombania maji ana mafuta hapo
 
Hivi Wapemba kwa haya mambo hawajambo sana,yaani wao ni kawaida sana eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…