Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu nimemwambia aweke screen short hapa ni mahali gani nimewahi kusema form 6 nimemaliza mwaka 2019.

Akiweka naombeni mnitag
Mkuu kwa sasa Status yako ni kubwa sana humu ndani mpotezee huyo asije kudamage brand yako uliyoijenga tayari. Acha akajibishane na kutukanana wa wapuuzi wenzie we fanya kama humuoni vile 👊👊😀
 
Ni shamima mkuu sio tamimu nakumbuka hivo
 
Vitu ambavyo nimeviona kwenye simulizi.
1. Ujasiri
2. Unaye Mungu ndani yako na si mizimu
3. Kazi ni kazi cha muhimu iwe halali
4. Wanawake na anasa si kipaumbele chako
5. Una msimamo
6. Msiri saana
7. Unafuata mambo yako
8. Una silka ya utajiri
9. Unajua kuitafuta shilingi
10. Simulizi zako na mimi zimenisaidia vitu vingi sana hasa kutambua utajiri ni mchakato.

Asante kwa muda wako na mafanikio mema na ukiwa jipya usiache kushare mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…