Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Sijui ila nilishaletewa kama mara tatu hivi na madogo , ni kweli kitamu sana mixer za mboga zake ndio balaa,
Kama ndio huyo wanamwita mmanyema chakula chake kina balaa.

Kuna kipindi nimekula sana chakula chake,tulikuwa tunachukuliwa na kijana.



Ila ni muhimu sana kuombea vyakula hivi Mungu akitakase.
Hizi biashara Zina mengi jamani[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikushukuru kwa kuhitimisha hbr /story hi ila pia pole sna kwa chamgamoto ulizopitia Ni lengo Ni kuwa tajiri ,,,the goal is to be rich ,,,ila SAS mkuu njia unayotumiaga wew kufika malengo na mafanikio yako huwa Ni short cut na mwisho wa siku unavuna hasra kubwa yess watu wanakuona mpambanaji ila kwa jinsi nilivyo ona Ni kuwa pmj na mambo yako yote uliyojaribu kufanya uliishia kupoteza kila kitu refer pesa mlizogawana na mtatiro zote zilipotea, na ukabidi uanze upya Kama HV SAS ulivyokuja kujichanganya na Ally mpemba kidogo akutoe uhai wako kwa ishu zake za kipumbavu


Nitoe Rai kwa ...
Vijan wajue kwenye maisha Hakuna short cut" short cut is a wrong cut . ndio maan SAS umeanza upya kwa kuwa dereva bodaboda
 
Hadithi hii imeletwa kwenu kwa udhamini wa Watu wa Tarime walio serious na kutafuta maisha
 
Mwamba mwandishi mzuri very smart:nimejufunza hawa watu wanaoishi upande wa kuvuka bahar ni watu wakuwa nao makini sana : halafu kuna pastor mmoja alishawahi sema roho ya mtu inaweza pitisha makusudi kwenye kitu chochote na kwakushiriki kwako na upofu wako unajikutwa ushakamatwa kama alivyosimulia [mention]UMUGHAKA [/mention] kwakupitia ile ten ya sister aliyopewa ilifanikisha zoezi la kumuondoa duniani sababu shida sio elfu kumi nini kilichopo nyuma ya elfukumi :asante kwa story nimejifunza mengi sana kwenye angle ya spiritual issues [emoji119][emoji119] najinsi mambo yanavyofanyika duniani :maisha mema na familia yako msalimie rehema pia
 
Ila hii ni kama haijamalizika eh?

Nimeona uvivu kusoma nisijepata arosto bure na mwenyewe kapotea

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…