Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hyo hoja ya kupumbazwa akili naweza kukubali

Kampuni unakuta inawafanyakaz wengi sana kwahyo inaweza kuchukuliwa kawaida ila kamgahawa ka wafanyakaz wasiozid 10 afu baada ya miez 6 anakufa mtu inashitua
Ndiyo hivyo, si unaona anasema tangu kipindi hicho mgahawa bado upo, watu wanaona kawaida mtu kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka aweke kila kitu hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema nini, Rehema ni mtu na nusu. Mimi pia nasubiri rungu langu kutoka kwa demu wangu. Nalipa ada na matumizi yote. Sijui kama nitatoboa maana duuh!!
 
Hili lakuombea kwakweli ni la muhimu sana Mungu akitakase, na kukomboa na mwisho kukibariki! Kwa hali hii tunakula vitu vya ajabu ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii ukiendekeza tamaa ukarud kwa jamaa jiandae kulishwa kabichi
 
Siku Ukipanga kuja Ifakara nijuze poti, ili kama ntakuwepo tukakae The place, Miami au chimbo lolote tunywe beer huku tukibadilishana mawazo. Hongera kwa simulizi iko na mafunzo
Nahisi tukutane asante au makutano pale..mni pm.nami nifunge safari....
 
Hili lakuombea kwakweli ni la muhimu sana Mungu akitakase, na kukomboa na mwisho kukibariki! Kwa hali hii tunakula vitu vya ajabu ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kuna siku nikawa natafakari

Kuanzia mchele au unga,nyanya,mafuta,mboga sijui nazi
Mtu unanunua sehemu tofauti tofauti..
Hujui hao waliokuuzia wapoje..
Pengine wameweka mavitu ili biashara iende.
Matunda ya juice,biashara ilivyo na competition Kila mtu ana mbinu yake ya kutoboa,wengine wamenuia dawa hapo wauze.

Then unacombine vitu vyote unapika chakula,
Kama ndio kila mtu alizindika biashara yake kama Ally Mpemba,you can see ni mavitu mangapi unakula[emoji16]

Nikasema Mungu nirehemu tu siku nilizokula bila kusali .

Sasahivi ndio taratibu najifunza umuhimu na mantiki ya kuombea chakula na kukitakasa.

...........


Kwenye stori ya LwandaMagere,anaelezea namna alivyoenda sehemu fulani kimazingara kwenda kutega mitego yake ya ajali
Aliingia mgahawa glfulani kula chakula .
Huo mgahawa kumbe wamejizindika,wanatumia damu ya hedhi(ya Binti) kwenye chakula ili kuvuta wateja,,na watu wanajaa kwelikweli.
Sasa alipofika yeye,Wanga huwa wanajuana bwana,
Wauzaji (alikuwa ni Mama na Binti yake) wakastuka kwa sababu jamaa alikuwa anaona wanachofanya .
Akawaambia yeye wampe chakula kisafi.


Anasema pembeni yake ilikuja couple kula chakula,
Kabla ya kula wakapiga alama ya msalaba(Ile wanapiga wakatoliki)
Lakini bado chakula kilikuwa kichafu,kwahiyo walikula uchafu.
Walisali ili mradi tu.

Kwahiyo si wote wanaoomba kwa kumaanisha.


Aisee hii Dunia Ina mengi ndugu zangu
Tujitahidi kuwa serious na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…