Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mume wa mtu sasa ndo mtamu kama hujui.
Kwanza hakunaga cha peke yako. Labda kaburi tu.
Kulogwa kulogwa tu .....unaweza kulogwa hata kwa kuwa tu unalipuka pamba....au umenunua kilo ya nyama badala ya robo. Bye kwa leo
Mwambie hivi akitaka cha peke yake akaishi sayari ya mars ila sio katika dunia 😅😅😅😅
 
Mungu wangu halafu huu uzi ulinipita sijui nikuwa wapi, yaani kadri siku zimavyosonga mambo yanabadilika, unatakiwa uwe mshirikina sana ili mshindane nao either uwe mcha Mungu haswaa tena kwakumaanisha ili akutetee mwenyewe bila hivyo Mungu wangu unakuwa mpira wa kona, mambo ni mengi sana tena machafu, Mungu atusaidie kwakweli.
 
Kweli penye miti hakuna wajenzi! Umughaka.... KWA nini bahati kama hizi haziko kwangu! Unatafuniwa hata kumeza tu unashindwa!? Au ally mpemba aliifanya mashine Yako kuwa kibogoyo!? It means haung'ati tena! Umekuwa JOKA LA BANDIA !!? Alaaa! Kumbe! Dah!
 
Ndugu mh sana Umughaka pamoja na ktupa burudani tosha ni kama umekatisha hii stori kighafla.
Tamanio la wapenzi na wafuasi wako tulitamani sana kujua Maya alikuwa nani.
Ni jini au ni msukule na kama alikuwa msukule vipi pacha wake hakuelewalolote kumhusu? Laiti ungeichipua stori hii katika nyanja ya maya na pacha wake tungefaidi sana.
Hata hivyo bado una uwezo wa kuirejelea kutupa habari ya maya na pacha wake ikiwa labda kuna sintofahamu yoyote ya hawa wana ndg
Yaani umetuacha wafuatiliaji wako na kiu kubwa kuwahusu.
 
Hatimae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…