Mimi kuna siku nikawa natafakari
Kuanzia mchele au unga,nyanya,mafuta,mboga sijui nazi
Mtu unanunua sehemu tofauti tofauti..
Hujui hao waliokuuzia wapoje..
Pengine wameweka mavitu ili biashara iende.
Matunda ya juice,biashara ilivyo na competition Kila mtu ana mbinu yake ya kutoboa,wengine wamenuia dawa hapo wauze.
Then unacombine vitu vyote unapika chakula,
Kama ndio Kila mtu alizindika biashara yake kama Ally Mpemba,you can see ni mavitu mangapi Unakula[emoji16]
Nikasema Mungu nirehemu tu siku nilizokula bila kusali
Sasahivi ndio taratibu najifunza umuhimu na mantiki ya kuombea chakula na kukitakasa.
...........
Kwenye stori ya LwandaMagere,anaelezea namna alivyoenda sehemu fulani kimazingara kwenda kutega mitego yake ya ajali
Aliingia mgahawa Fulani kula chakula .
Huo mgahawa kumbe wamejizindika,wanatumia damu ya hedhi(ya Binti) kwenye chakula ili kuvuta wateja,,na watu wanajaa kwelikweli.
Sasa alipofika yeye,Wanga huwa wanajuana bwana,
Wauzaji (alikuwa ni mama na Binti yake) wakastuka kwa sababu jamaa alikuwa anaona wanachofanya .
Atawaambia yeye wampe chakula kisafi.
Anasema pembeni yake ilikuja couple kula chakula,
Kabla ya kula wakapita alama ya msalaba(Ile wanapiga wakatoliki)
Lakini bado chakula kilikuwa kichafu,kwahiyo walikula uchafu.
Walisali ili mradi tu.
Kwahiyo si wote wanaoomba kwa kumaanisha.
Aisee hii Dunia Ina mengi ndugu zangu
Tujitahidi kuwa serious na Mungu.
Sent using
Jamii Forums mobile app