Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Asante kwa simulizi nzuri pole.kwa changamoto wewe ni mfano mzuri wa MPAMBANAJI.
Ushauri wangu OKOKA sali kanisa la kilokole ili uvunje kabisa nikataba na connection ya shetani. Mungu anakupendaha hata Kama umepita wapi na umefanya Nini...ili kumalizia vizuri Kama Kuna vipicha Fulani tupia ili kusindikikizia story...
 
Umughaka ana moyo wa ajabu, anapambana ila anadhurumiwa kirahisi anapotezea, kuna mdau kaomba ufafanuzi hapo juu kuhusu hatma ya Maya.
 
Kumbe Mungu husikiliza walokole pekee![emoji848] Nilikuwa sijui.
 
Story imekuwa nzuri mno, nimejifunza mambo mengi ambayo ntaishi nayo katika mapito yangu.
Shukrani sana mkuu na kila lakheri kwenye mishe zako.
 
Kila pesa na assets nilizonazo kanipa. Nikifanya calculation ya expenses na assets nilizozipata kwake ni over a Billion. Bado kanipa watoto na nafurahia maisha. Of all kanipa uhai

Asante Mungu na nipo tayari kupokea kikubwa zaidi toka kwako
Jf , where we dare to speak openly.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…