Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Apo kidoo roho kwatu .@umughaka tangu uyu mpemba akupe jina la master nilijua kuna kitu kakiona kwako[emoji23][emoji23]alikujaza afu ukajaaa... anyways tukutane episode ijayo
 
Heri ya mwaka mpya 2023 UMUGHAKA shukrani sana kwa kuendelea kutenga muda wako wa kutuburudisha bila kuchoka, tunajua una majukumu yako binafsi yanayokukabili kwaiyo kama kawaida yako ukipata muda endelea kutupia vitu, we appreciate you
 
Pamoja sana UMUGHAKA , shusha ep nyingine mkuu
 
Kama hayo uliyosema kweli wapemba wote wangelikuwa matajiri. Kuamini ushirikina ni uzuzu[emoji23][emoji23]
Ally Mpemba "wewe unanyota ya utajiri master labda uichezee mwenyewe!"

Mimi "Kweli kaka!?"

Ally Mpemba "Una nyota ya pesa ambayo pesa ikija kwako haitoki labda uitoe mwenyewe au mtu akuchukue uwe unmzalishia pesa!"


Hayo ni maneno ya Master UMUGHAKA mwenyewe,sio wapemba wote ila baadhi Yao ni washirikina sana ukiona anakushobokea ujue una nyota Kali kashaichungulia.

Nishawahi kuwa na maboss wapemba kwenye kampuni zao za clearing and forwarding niliwashtukia kwenye mambo kama hayo ya ushirikina.

Nikatafuta namna ya kuacha kazi kwao mwaka wa 6 sasa tangu niache kazi kwao.

Jamaa wanaiba sana nyota za watu amini usiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…